Mabachela: Ni chakula gani kigumu kupika geto?

ugali aiseee,
lazima uoshe sufulia, afu unabaki unazungusha zungusha mwiko pale, aaaaaah full Jasho......
cpendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna chakula kigumu kupika, kwangu mimi kigumu ni kuosha vyombo

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
Hata mm kuosha vyombo ni nom aisee naweza nikahailisha kupika kisa vyombo hamna

latest edition
 
Mm najua kusonga ugali tu mboga kupika na vyakula vingine sijui..

Niilishi na mshikaji yy alikua anajua kupika mboga ila ugali hawez sobga so tukawa tunagawana majukumu, yy mboga mm ugali..!
 
mm hata chapat napika hakuna kitu easy kwangu kwangu km chapat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…