Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hivi watu wanaweka nyanya kwenye ndizi!!Hii inakuwa na kaharufu flani ka nyanya ambazo hazijaiva vizuri inanikera.
Kama nyama ni nyingi ya kutodha, ndizi chuku chuku huwa tamu pia kwa sababu ya supu nzito. Ila isiwekwe nyanya kabisa, carrots, hoho na vitunguu vinatosha
Mie naweka karoti,hoho,kitunguu na pilipili mbuzi baaasi