Hivi watu wanaweka nyanya kwenye ndizi!!Hii inakuwa na kaharufu flani ka nyanya ambazo hazijaiva vizuri inanikera.
Kama nyama ni nyingi ya kutodha, ndizi chuku chuku huwa tamu pia kwa sababu ya supu nzito. Ila isiwekwe nyanya kabisa, carrots, hoho na vitunguu vinatosha
Twende kuna mahali nimealikwaMa bachelor kesho pilau wapi ?
Hivi watu wanaweka nyanya kwenye ndizi!!
Mie naweka karoti,hoho,kitunguu na pilipili mbuzi baaasi
Hahaa umenikumbusha ,Mapishi ni mengi mno. Nyanya mbili tatu huwekwa.
Unajua hata pilau yawekwa nyanya pia?
Kuishi ni kujifunza.
Kati ya vitu rahisi kupika ni waliUkiniambia nipike Wali utakua umenionea sana..
Hahaa umenikumbusha ,
Mie nilizoea kuweka nyanya kwenye pilau
Siku moja shemeji yako akanikuta naandaa vitu vya pilau zikiwemo nyanya
Akanisema pilau haiwekwi nyanya inakuwa na uchachu
Ndipo nikajifunza
hqhaha hakuna mtoto wa kiume anaweza kupika hii gheton
alikeni madem zenu wakakinukishe huko magetoni
Mkuu mmi gheto ugali ndo naupigaga chap ila mambo ya wali cfagiliiNina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
Kumbe ww ndo unawekaga maji hadi anafufuka [emoji3]Kupika Mchuzi Wa Samaki Sijui
Unahitaji kweli kujifunza kupika dagaa au unazuga?Tuacheni utani naomba kufundishwa, kupika wali mzuri kingine kupika dagaa ase huwa nashindwa, wataalamu mkuje mnielekeze.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumbe ww ndo unawekaga maji hadi anafufuka [emoji3]