Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Kama utaunga sidhani kama ladha itapotea kivile

Mbinu nyingine kwa nyama, unaweza chemsha halafu unaweka chumvi nyingi, halafu ikiiva, hakikisha unaitunza kwenye sufuria ikiwa kavu (sio kwenye friji) , hii inakaa hata wiki bila kuharibika
Maharage na nyama ni sawa ila nayo yanapotezaga taste yakikaa sana frijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah! Hapa binamu kwa kweli hii ni push to start

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ladha hupotea kwa maharagwe, tunakulaga tu bora uyaweke bila kuunga na viungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu ishi na zile ndizi mbichi.Unamenya unapitisha kisu katikat unaweka kwny mafuta.At the same time may be una Samaki mkavu kipande ni kumpasha tu.Kama una nyanya,vitunguu,tango,pilipili,parachichi unavikata chap then na ile ndizi fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa ulipoandika jokofu badala ya friji....[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cabbage,Mshikaki 1,nyanya kubwa 1,kitunguu maji na mafuta.Kaanga vitunguu na nyanya,mimina Cabbage na mishikaki,koroga kidogo tia maji,dakika 10 tayari,pika Ugali kwenye gesi fasta mchana umepita...
kudadeki,nachukua hii..mpk mate yamenijaa
 
migahawa sawa lkn nayo inachosha......Chips shughuli ntaenda vibandani,hayo mengine nafanya sana..shukrani
 
noted,ngoja nitafute jokofu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…