Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Mmmh!
 
[emoji2299][emoji2299]
 
Olewa wewe. Uwe unampikia mumeo,

Uvivu tu umekujaaa
 
Uoe sasa, muda ndio huu.
 
Nunua nutela, nunua mkate mzur mlaini, blue band. Uwe na kahawa na nido. Asee utaishi maisha rahis snaa, yaani we ni kuchemsha maj tu na kupaka mkate kwisha. Hyo u apiga asubuh na usiku, kama simple snack.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana taifa lina watu legelege sana. Wenzenu wanakula mlo kamili full maprotein, mawanga, mavitamini C kibao. Ndio maana timu zetu zikicheza na watu wenye shibe zao tunapigwa tu. Ukute mchezaje asubuhi kanywa chai ya rangi na vitumbua
 
Ugali na mayai..
Unapiga ugali, unapika mayai. Ugali unalia kwenye sufulia na mayai unachanganya umo umo.. Flampeni kwa mwezi inaoshwa mara moja sababu huwa haichafuki.
Unakuwa na kazi ya kuosha sufulia tu
Aisee
 
Vyakula visivyo na mlolongo mrefu wa kuandaa na vyombo vichache sana vitumike. Nimechoka ubwabwa (wa rice kuka)/tambi/ugali na nyama au mainiau mchemsho. Vitu gani vingine huwa mnapika?

Asanteni
ugali wa chumvi,+ limao+pilipili, note: hapa unapika tuu ugali then unachukua kibakuli unakamulia limao unaweka na pilipili na chumvi kidogo, karibu mezani. Ukienda kukata gogo nenda na fanta orange kabisa ya kukupunguzia maumivu
 
Duh..Sasa si bora hiyo fanta ndio ulie ugali tu?
 
Hua nanunua kiti Moto Cha 2000,Kisha nnasonga ugali
Weekend nkiwa sijaingia mzigoni
Nnapika wali asubuhi na nyama au chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…