Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Ndio maana taifa lina watu legelege sana. Wenzenu wanakula mlo kamili full maprotein, mawanga, mavitamini C kibao. Ndio maana timu zetu zikicheza na watu wenye shibe zao tunapigwa tu. Ukute mchezaje asubuhi kanywa chai ya rangi na vitumbua
Usiendekeze kula kula wew.wenzio mifumo imebadilika.sasa tunakwepa kula kula hovyo..kuna umr ukifika hutakiw kuendekeza kula.utapata sukar.pressure n.k..huon wenzio wanahangaika gym na kupunguza uzito.sio wajinga.we endekeza ugal kitambi kuleee
 
Ugali na dagaa mchele wa 500.

dagaa wa 500, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1 na kipande cha limao/ndimu

Kwenye jiko la gesi ni dk5

NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanakushangaa.
Tatizo wamezoea kuagiza kilo moja au moja na nusu mtu mmoja anatafuna tu lakini robo kwa mtu mmoja ni reasonable.
[emoji16][emoji16]watu sio poa
 
Usiendekeze kula kula wew.wenzio mifumo imebadilika.sasa tunakwepa kula kula hovyo..kuna umr ukifika hutakiw kuendekeza kula.utapata sukar.pressure n.k..huon wenzio wanahangaika gym na kupunguza uzito.sio wajinga.we endekeza ugal kitambi kuleee
Kuna jamaa zangu wanakwambia ukiwa kijana ndio wakati wa kufakamia misosi
 
Vyakula vyote nilivyowahi kula me najua kupika,

Chakula nikipendacho, wali uwekwe hiliki, kisamvu cha karanga na samaki wa nazi, pembeni kuwe na ndizi mbivu.
[emoji39][emoji39]
So exciting

Kwa hiyo mkuu
Huo msosi wote unaliwa kwenye mlo mmoja ?
 
asubuhi nikitaka kupika uji nachemsha maji ya moto natia kwenye brenda na kiporo cha ugali cha jana usiku dakika 1 tu uji tayari ubachela raha sana
 
Back
Top Bottom