Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,213
Kitimoto cha 2000 kinauzwa wap mkuu ?? Au ni vile vinavyouzwagwa kwnye malap lapHua nanunua kiti Moto Cha 2000,Kisha nnasonga ugali
Weekend nkiwa sijaingia mzigoni
Nnapika wali asubuhi na nyama au chochote