Kitimoto cha 2000 kinauzwa wap mkuu ?? Au ni vile vinavyouzwagwa kwnye malap lapHua nanunua kiti Moto Cha 2000,Kisha nnasonga ugali
Weekend nkiwa sijaingia mzigoni
Nnapika wali asubuhi na nyama au chochote
Kwani robo shingap?Kitimoto cha 2000 kinauzwa wap mkuu ?? Au ni vile vinavyouzwagwa kwnye malap lap
Weekends hua anatoka? Basi anakuja kwangu.Sina dada anayeshiriki mahusiano ya jinsia moja
Sealed ya zege kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23] Culture Me samahan lakn inaonesha utakuwa bikra aseee maana ulishasemaga hujawah kudate na man
Chocolate laini..hyo ukipaka kwenye mkate yaan ndugu.mzungu huwa hakosei.we jarib tuuNutela ina ladha gani mkuu ?
Usiendekeze kula kula wew.wenzio mifumo imebadilika.sasa tunakwepa kula kula hovyo..kuna umr ukifika hutakiw kuendekeza kula.utapata sukar.pressure n.k..huon wenzio wanahangaika gym na kupunguza uzito.sio wajinga.we endekeza ugal kitambi kuleeeNdio maana taifa lina watu legelege sana. Wenzenu wanakula mlo kamili full maprotein, mawanga, mavitamini C kibao. Ndio maana timu zetu zikicheza na watu wenye shibe zao tunapigwa tu. Ukute mchezaje asubuhi kanywa chai ya rangi na vitumbua
2000?...bila shaka uko mkoan.Hua nanunua kiti Moto Cha 2000,Kisha nnasonga ugali
Weekend nkiwa sijaingia mzigoni
Nnapika wali asubuhi na nyama au chochote
Ndio mkuu2000?...bila shaka uko mkoan.
Wanakushangaa.Ndio mkuu
Aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ugali na dagaa mchele wa 500.
dagaa wa 500, nyanya2, carot1, na kitunguu maji1 na kipande cha limao/ndimu
Kwenye jiko la gesi ni dk5
NB: MBOGA NA UGALI VINALIWA KWENYE VYOMBO VILIVYOPIKIWA KUPUNGUZA KAZI YA KUOSHA VYOMBO
[emoji16][emoji16]watu sio poaWanakushangaa.
Tatizo wamezoea kuagiza kilo moja au moja na nusu mtu mmoja anatafuna tu lakini robo kwa mtu mmoja ni reasonable.
Kuna jamaa zangu wanakwambia ukiwa kijana ndio wakati wa kufakamia misosiUsiendekeze kula kula wew.wenzio mifumo imebadilika.sasa tunakwepa kula kula hovyo..kuna umr ukifika hutakiw kuendekeza kula.utapata sukar.pressure n.k..huon wenzio wanahangaika gym na kupunguza uzito.sio wajinga.we endekeza ugal kitambi kuleee
Kukupa counselling kama mdogo wake uliyekubuhu kwenye usagajiWeekends hua anatoka? Basi anakuja kwangu.
Anakufundisha namna ya kuacha tabia za kishetani.Ananipa counseling ya maneno halafu baadae anatoa nguo ananipa ya vitendo,
Walai dada ako simuachiii,
Kwenye mapishi sasa yupo njema mnoo natarajia kutoa posa kabisa.
Acha kuharibu uzi wa watu, humu tunaongelea vyakula tu,Anakufundisha namna ya kuacha tabia za kishetani.
Unapenda kupika nini bidada ?Acha kuharibu uzi wa watu, humu tunaongelea vyakula tu,
Hujui kupika nini?
Vyakula vyote nilivyowahi kula me najua kupika,Unapenda kupika nini bidada ?
So excitingVyakula vyote nilivyowahi kula me najua kupika,
Chakula nikipendacho, wali uwekwe hiliki, kisamvu cha karanga na samaki wa nazi, pembeni kuwe na ndizi mbivu.
[emoji39][emoji39]