Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

Hii serikali imejaa udini mno. Na ndio kitu akipendacho chura aka kizimkazi. Watanganyika mjipange
Kazi ni kipimo cha utu
Kwa hiyo angeweka wakristo zaidi wewe ingekufurahisha sana moyo wako?
Haya ndiyo matatizo ya baadhi ya watu tulionao ndani ya taifa hili.

Wewe huna tofauti yoyote na huyo unayemlalamikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…