Tafuta chimbo lako ulambe asali kimya kimyaSERIKALI YA KIHUNIIIII
We mwenyewe unapenda kulamba asaliOne dominates
Juma Homera ndiye alimuua yule dogo Shadrach ChaulaOne dominates
Au ulikuwa unazungumzia live ya kwenye hitman?Je mbona hukutaka kuhoji ni live gani?
Kwakuwa mtihani wa kidato cha nne umekaribishwa hakuna baya.miezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya MALAWI ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
Huyo Ulega ni "mbobevu" wa uvuvi wa kamba kochi na jongoo bahari!Hongera kwa mmenye Bruno Sunguya...
Hivi Bwana Ulega amebobea kwenye tasnia ipi?
Tutaona Wakati wa uapishomiezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya MALAWI ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
Yule kijana aliyeoa miss kutoka kwa akina ngosha naona kaambulia patupu pamoja na kujikomba kote ili arudi kwenye cabinet,,,mwambieni ICC ipo paleplae inamsubiri.Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
Du umenikumbusha Kitai, Mbinga na gereza la Kitai.Mavunde ametemwa? Nilijua tu, huyu kuna upigaji alizuia kule kwenye makaa ya mawe, mkako na kitai, akishirikiana na Judith, baadae ilivyosanuka judith akamuangushia zigo zima mavunde, na ilisemekana hachukui round anatupwa nje.
Jamani msiwaamini wanawake, mavunde amepotezwa na Judith kapinga,
Kweli leo nimeamini Makaa ya mawe ni ya Roma na stamina.
Duuuuh
Ni mmoja wao na ana ukwasi wa kutisha.Jay anazidi kushukuriwa kwa kazi nzuri ya kumpoteza Mdude Nyagali Mpalika.
NI Reshuffle ndogo na hakuna Waziri aliyetemwa.....imefanywa kwa kumteua Waziri mpya mmoja ili kujaza nafasi aliyoiacha Mh. Makamu wa Rais..na wengine kubadilishana Wizara... ..period...Mavunde ametemwa? Nilijua tu, huyu kuna upigaji alizuia kule kwenye makaa ya mawe, mkako na kitai, akishirikiana na Judith, baadae ilivyosanuka judith akamuangushia zigo zima mavunde, na ilisemekana hachukui round anatupwa nje.
Jamani msiwaamini wanawake, mavunde amepotezwa na Judith kapinga,
Kweli leo nimeamini Makaa ya mawe ni ya Roma na stamina.
Duuuuh
Mavunde yuko wapii??NI Reshuffle ndogo na hakuna Waziri aliyetemwa.....imefanywa kwa kumteua Waziri mpya mmoja ili kujaza nafasi aliyoiacha Mh. Makamu wa Rais..na wengine kubadilishana Wizara... ..period...
Huko mbinga.Du umenikumbusha Kitai, Mbinga na gereza la Kitai.