KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Aache tu asiweke!Yaweke hapa.
Aache tu asiweke!Yaweke hapa.
Wanasahau haraka.Kuimba kupokezana watakapoanza kulia tutawakumbusha.
....Kumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
Mzee wangu hapa umechemka tangu lini teuzi zikawa mubashara?Try to connect dots bro... Teuzi bila live?
Token hapa na Ramli zenu chonganishimiezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya Zambia ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
Dini za hao wateule wewe zinakuhusu nini?Hii serikali imejaa udini mno. Na ndio kitu akipendacho chura aka kizimkazi. Watanganyika mjipange
Kazi ni kipimo cha utu
Je mbona hukutaka kuhoji ni live gani?Mzee wangu hapa umechemka tangu lini teuzi zikawa mubashara?
Sio Zambia ni Malawimiezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya Zambia ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10
asante kwa kunikumbusha narekebishaSio Zambia ni Malawi
Mauteuzi yasiyokuwa na tijaKumefanyika Mabadiliko Ya Baraza La Mawaziri Leo
Unadhan kachaguliwa kwa utendaji hhhhhNimefurahi sana kadogosa kuwa Waziri.
Kulikuwa na ujinga mwingi sana unafanyika pale SGR na ulikosa usimamizi, yule Ulega nilikuwa namuona kama mbabaishaji tu.
Usirekebishe acha hivyohivyo kwakuwa next stop ni huko🙆🏿♂🏃🏿🤣asante kwa kunikumbusha narekebisha
Hii ni post ya kutunza, ina code ndani yake.miezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya MALAWI ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10