Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

Mabadiko Baraza la Mawaziri Yatangazwa

🙆🏿‍♂😃💪🏿🤪 kuna jambo najua unashindwa kuliweka hadharani.. Acha tu tubaki Malawi kwanza🤣
haraffu mkuu umenithibitishia kuwa wewe ni Mlozi kweli kweli hadi umesababisha nimeyumbisha msimamo wangu kutoka ZAMBIA hadi MALAWI ... ebu turudishie nyuzi zako Za ULOZI mkuu tumemmiss yule mshana wa KILINGENI msata
 
miezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya MALAWI ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10​
Nahifadhi haya maneno kwa matumizi ya rejea kwenye machapisho yajayo mbeleni..
 
Try to connect dots bro... Teuzi bila live?
muda wa kuapishwa ataonekana.

miezi ya mwisho ya hayati JPM pia alijitahidi sana kufanya uteuzi ili kuuonyesha umma kuwa yeye ndio namba moja...sitamani sana kuona kiti chaa urais kina kaliwa na Rais ambae hakuwahi kugombea Urais but niliiona bendera ya MALAWI ikipepea nusu Mlingoti kabla ya tarehe 29, mwezi 10​
wizara ya nishati ilikua wazi kufuatia waziri wake kua makamo, hivyo teuzi zilitarajiwa

Kuimba kupokezana watakapoanza kulia tutawakumbusha.
kimsingi kabla ya kipindi hiki cha furaha walikua wanalia, yawezekana sasa pande zote zimeshuhudia maumizvu yana uzito gani
 
Back
Top Bottom