Iliaminika kuwa bara la Afrika lipo nyuma katika kila kitu. Dhana ambayo hadi hii leo bado inatumikakulididimiza bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Kipindi cha ukoloni karne ya 19 hadi 20 africa ilitawaliwa na wazungu. Swali amabalo najiuliza kwa nini babu zetu hawakukata?. kwa nini wakikubali kutawaliwa na wazungu au waarabu?
Nivigumu kujua ukweli wa mambo maana hata histolia tunayosoma imeandikwa kwa alsmia 90 na mzungu, hivyo basi anaweza kubadilisha ukweli katika histolia hiyo na kutafuya sisi waafrika kuonekana wajinga.
Lakin inaaminika afrika ndo bara lililokuwa na elimu zaidi. Mabepali wanafanya tuonekana sisi ni wajinga, na wapumbavu, hivyo basi na sisi tunabeba hiyo dhana ya kukuwa sisi ni wajinga na wapumbavu hatuwezi kitu wenyewe hadi leo hii.
Afrika bado tunamtegemea mzungu kwenye tekinologia, sayansi , elimu , mpaka dawa. Wakati tunamadawa mengi ya kienyeji yanao timu vitu vingi sana. Lakini mzungu analeta upumbavu kuwa dawa hizo sio nzuri kwa binadamu tutumie dawa zilizotengenezwa kiwandani. Na kweli watu wafrika sasa hivi wanatumia hizo dawa na wanasahau kabisa dawa za mitishamba ambazo mababu zetu walitumia na kuishi miaka mingi sana.
Ni wakati wa kubadilika katika bara la afrika na waafrika kwa ujumla. Tunaweza kufanya makubwa kweli kama tukibadilika na kuwa kitu kimoja. Sehemu kuu ya mabadiliko ni katika elimu na siasa. Tukiweza kubadilika katika elimu na siasa naona afrika itakuwa mbali sana zaidi ya wazungu.
Uku nchi nyingi zikiendelea kuwa na fedha zao za ndani. Kwa mfano England wanaweza kutumia pounds na euros. Hii inakuza uchimi wa bara zima.
Pia wanasiasa wanawwza kutengeneza " gold reserves " ni kama hifadhi au hazina ya dhahabu. Ili wazo alikuwa nalo marehemu Muamally Gaddafi. Kipindi cha uai wake. Ili wazo ndo lilipelekea kifu chake. Kwasababu wazungu waligundua kuwa afrika wakiweza kuwa na hazina yake ya dhahabu.
Na afrika wakiungana kuwa nchi mmoja na sarafu itakayotumika kuwa moja. Mataifa ya wazungu watapata shida sana kwanza katika viwanda vyao maana wazungu viwanda vyao vyote vinategemea sana malighafi "raw materials " kutoka afrika sasa kama afrika wakiwauzia kwa bei kubwa wanaweza kukosa faidi au ikafanya ufumuko wa bei kuwa kubwa kwa wazungu. Ndo maana walimuua raisi huyu bila huruma.
Hayati John Pombe Magufuri alikuwa raisi wa Tanzania alikuwa anamaone kama hao . Kusema kuwa hawezi kutegemea mabepali na kweli tuliona kwa vitendo sijui kama angekuwepo hapa mpaka leo hii Tanzania ingekuwa mbali sana. Aliamini katika viwanda. Kwa mfano waafrika tukiwa na viwanda vikubwa vya kuzalisha madawa mguo magari unadhani nani atakuwa soko la viwanda vya wazungu, ndo maana wazungu wanapigana hadi kesho kufanya afrika isiwe na kiwanda chochoete cha maaana ili wasikose soko.
Unadhani hakuna wawekezaji wanaoweza kuja kuwekeza Tanzania na kufungua viwanda vya maana lakini mwekezaji akija anakuja kufungua kiwanda cha juice Tanzania. Sawa tunapata mapato katika nchi lakini tunauza hizo juice wapi. Yani hizo juice zikienda mbali ni nchi tatu majirani. Kwa nini hizo juice zisiende nje ya bara ya Afrika. sidhani kama mamlaka husika wanaliangalia hilo hizo juice zipo kutupumbaza akili kutupa magonjwa na kufanya tuwakibilie wazungu tena.
Mamlaka husika katika swala wa uwekezaji watazame mara mbili swala la mwekezaji kuja kuwekaza katika vinywaji huo ni utoto na upumbafu. Watu hawaitaji soda watu wanaitaji nguo , madawa ili yatumike ndani na nje ya nchi , sana sana nje ya nchi maana si tunataka kuongeza kipato cha taifa na kukuza uchimi wetu. Kwa nini tusiwekeze kwenyewe vitu amabavyo vitauzika uko kwako. Inakuwa vizuri kuonesha kitu kimetoka nchini Tanzania kinauzwa nje ya bara ya afrika n ivizuri lakini hakuna hakuna lakini wawekezaji wapo na ni wingi sana. Sasa faida ya wao kuwekeza ni nini?
Sasa ni wakati wa Tanzania na Bara la afrika kwa ujumla kubadilika na kuanza kujitegemea katika sekta mbali mbali, ili kuepusha au kuvunja huu mfumo uliopo duniani kuwa afrika ni masikini na hatuwezi kitu kitu ambacho sio kweli. Afrika tunaweza. Kama tunaweza hadi misaada ya kifedha kutoka kwa wazungu tungeikata maaana hiyo misaada ndo inafanya wazungu wanekana kama wanatumudu kutuendesha jinsi wanavyotaka wao.
Wanasiasa na wananchi inabidi wawe makini sana maaana mabepari watataka kuchafua hali ya amani katika nchi husiki. Maana mzungu akitaka kitu kwako ataleta chuki baina ya wanasiasa na watu mwisho wa siku machafuko yanatokea alafu wanamuweka kipngozi wanaweza kumuendesha watakavyo wao. Pamoja tunaweza kubadilisha dhana hiyo ya kuwa afrika ni bara duni duniani kote.

Kwa nini na sema elimu na siasa na sio vitu vingine.? Kwa sababu elimu tunayofundishwa ni elimu ya kikoloni mtoto anaweza kwenda hadi chuo kikuuu akashindwa kujitegemea, kwa nini mitaala ya shule za msingi, sekondari na chuo kikuu zisifanane na hali alisi ya maisha ya bara la africa. Unakuta tunafundiswa vitu vya kizungu tangu chekechea vitu amabavyo katika maisha yetu hatutakuja kuvitumia hata kidogo. Kwa nini tusifumdishane kulima tangu mashuleni. Kama nchi ya Tanzania wanakauli moja inasema " kilimo ni uti wa mgongo" inamaana kwamba Tanzania inawakulima wengi sana na wanategemea kilimo kujipatia pesa ya kukidhi maitaji ya kifamilia au kijamii.
Sasa kama mimi ni ngekuwa mwanasiasa ningependa kufanya siasa zinazohusu Tanzania na bara la afrika. Kama kutengeneza fehda moja ya afrika ili tushindane na hao mabepali kama marekani china na urusi. Wakija kununua vitu afrika watumie fedha za afrika. Ambao ni kama "euros" kwa ulaya. Yani bara la ulaya linafedha inatumika kama fedha ya muungano.

Upvote
2