Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Doto Biteko ateuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Makamba Mambo ya Nje, Pindi Chana Katiba na Sheria

Huyu mama aliingilia ulaji wa mtu, unakumbuka alivyopiga vita ujenzi wa sheli pale Kimara kwamba kwa nini watu wabomolewe na sheli ibakie
 
Aliyepo anasoma kitabu unachosoma wewe? 😂 😂 😂 😂 😂
 
Hii inasaidia nini? Tuwape watu sifa kwa matendo yao..sio dini zao
 
Mkristo na muislam ndio kitu gani?
 
Dini ya mtu haihusiki kabisa kwenye uteuzi!! Usituingizie uharibifu!! Dini ya mtu haimpi sifa ya kushika wadhifa wowote!! Hao wote wameteuliwa kwa mujibu wa taaluma zao!! Lakini pia jina halina uhusiano na dini ya mtu!! Nina jamaa yangu anaitwa Salum lakini ni Mkristo!!
 

..huu ujumbe ukawafikishie Mashekhe wanaotetea Dpw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…