inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Acha wogaNi wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Hatagombea
Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025
Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani
Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035
TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
ACha kukariri kada wa ccm wewe, sekta ya nishati Ime mshinda 🙄.Wasi wasi wako tu. Makamba ni mtendaji mzuri sana na mama analijua Hilo ndo mana Huwa hasikilizi kelele za mataahira kama wewe na TEC yako. Mama is there to stay till 2035
Wewe unawasikiza hao haters,mama yupo sana tuuNilitamani mama aende hadi 2030
Dotto Mashaka Biteko.Waziri wa nishati ni nani?
Mhhh.Biteko msubi
🤣Huyu btko alishaga chukua mzigo mrefu sna kwa don wangu kahama 1b+..hakuna viongozi hapo ni uozo
Mie nilitamni hado 2040Nilitamani mama aende hadi 2030
Hovyo😏Wasi wasi wako tu. Makamba ni mtendaji mzuri sana na mama analijua Hilo ndo mana Huwa hasikilizi kelele za mataahira kama wewe na TEC yako. Mama is there to stay till 2035
asante Bwana Yesu, asante kwa kutuletea Bwana gabo, njoo Bwana GabonGabon is loading......
Conspiracy theories.....Ni wazi mama anamuandaa kijana wao ili ampishe kiti cha Urais 2025
Hatagombea
Hawa watu wamejipanga wanata kijana wao akae kwenye wizara isiyo kuwa na heka heka Ili asichafuke isije kumuharibia kuelekea 2025
Ndio maana awamu hii wanataka wasaini mikataba yote mibovu kwasababu samia anajua hana cha kupoteza kwa kuwa 2025 anamuandaa kijana fulani
Watanganyika tujiandae kwa mateso mengine makubwa kuanzia 2025-2035
TANGANYIKA tulimkosea nini Mungu?
Kutamani ni dhambiNilitamani mama aende hadi 2030
Unataka wakiingia mitaani waanze kumbaka mkeo halafu wakumalizie wewe?!!Gabon is loading......
Rais hawezi kupendwa na kila mtuSs si bora hta ww akakugea cheo kuliko madudu anayoyafanya saivi.Ww una uafadhali kdg
hHapana, Majaliwa akitoka hapo au analamba mshiko wake mrefu, anafanya miradi yake na huku anakuwa mshauri tu.
Mafao na maisha ya waziri mkuu mstaafu Tanzania siyo ya kitoto.
Huyo bado ataendeelea kupata walinzi, ma dereva, magari mapya, tiketi za ndege, kula, kulala, heshima. mpaka kufa kwake au katiba ibadilike.
Jpm ndo aliiharibu Ile sector kwa kupenda masifa ya mda mfupi bila kuangalia uchakavu wa vipuri, mitambo na vinginevyo. Jpm angeendelea kuwepo nchi IPO siku inheingia gizani mwaka mzimaACha kukariri kada wa ccm wewe, sekta ya nishati Ime mshinda 🙄.
👉Huko ikulu, si ata tuuza na sisi,🤔