Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Nishati ndio kwenye pesa, katolewa jioni.Kipara Kinazidi kung'aa
Acha ujinga. Huyu ndo mkombozi wetu baada ya kuteswa na jiwe miaka mitano bila mishahara kuongezeka Wala ajira mpya zozote. Sasa hivi ajira ni kila pahala hasa sector binafsi ambayo ilikuwa imekufa kabisa kifo Cha Mende.Yeye mwenyewe ajiuzulu
Kwanza hiki cheo kipo kwenye katiba? ndiyo nakisikia tangu nizaliweUkimtafutia PM msaidizi unakuwa umempa ujumbe gani?
Wataalam wa siasa njooni mtupe majibu.
Nchi ngumu sana hii, umuhimu wa hiko cheo mbona hauonekaniNaibu waziri mkuu? 🤔 Hiki cheo toka lini kipo 🤔
Hawezi kuwa raisi mshenzi yule.Ma~Rope Ananyatia Urais Sasa
TaxSijaona nani ni Waziri wa Ulinzi?
Hii nayo imempita Pascal Mayalla ?
Mambo ya nje ni jirani na uraisi.Nishati ndio kwenye pesa, katolewa jioni.
Naona Biteko akiandaliwa kuwa PM kuanzia 2025.Kama kawa
Kama dawa
Ukanda na ukabila
Ujui katiba we kilaza wa TecRais angejiuzuru tuchangue mtu anayejielewa. Huwezi kuteua cheo ambacho hakipo kikatiba
Stergomena Tax karudi tena.Sijaona nani ni Waziri wa Ulinzi?
Mama anataka kumuondoa lakini ni kama vile anamuonea aibu sasa hebu angalia kapelekewa Biteko ili amsaidiekwanini mkuu? Ufafanuzi kidogo kwenye hili kama unalielewa vyema