Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Yani excuse kua ni binadam na binadam anaweza kubadilika ndio mnainote leo, hapo awali mlipokua mnamfananisha na malaika hamkujua kua ni binadam na anaweza kubadilika?

Nooo, the office is too big for himself na mara nyingi kasema yeye mwenyewe kua angejua the office is too big asingejaribu hata kuchukua fom achilia mbali kugombea.

The worse for his incompitence for the office is yet to come.
 
Wewe kweli funza, mimi makamba toka lini?
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Ukiona mtu anasema wewe kweli hero ujue Upeo umefika mwisho kaishiwa maneno, kuijadili ID ya JF wakati si jina la ubatizo ni sawa na kusema Hero ni matusi Kwa makabila mengine usijone una Akili kisa Mchepuko umekusifia ili ukuchune pesa za Dili la vibali vya sukari.
 
Kaa chini mkuu,punguza jazba.Kwahiyo sasa hivi sio raia wa nchi hii!!mbona CCM walimpitisha kugombea??nyie ndio walewale,akishateuliwa mnarudi tena huku kupongeza,sijui mna matatizo gani kichwani!!
 
Hata Naibu waziri wa mambo ya Ndani sio mtendaji.. ni mzigo..!! Masauni sio kabisa..!!

Hii wizara inataka watu AGGRESSIVE and Competent..!!

Masauni yuko slow sana...

Wizara ya mambo ya NDANI INGEFAA MTU KAMA AGGREY MWANRI..MKUU WA MKOA WA TABORA.
Hapo kwa Mwanri nakuunga mkono kabisa.

Hivi Mukulu zile nafasi zake za uteuzi wa wabunge bado hazijaisha??
 
Natumaini makubwa na Dr Magufuli safari hii atanikumbuka.Wakuu wa Mikoa nilisahaulika kiduchu,Makatibu Tawala wa Mikoa nikakoswa koswa sasa ni zamu yangu Wizara ya Mambo ya Ndani nataimudu bila mbwembwe sitakunywa Konyagi wala Safari chonde chonde Dr usinisahau katika ufalme wako.
 
Kama binadamu wakabadilika basi hata mteua mawaziri atabadilika baadae anaweza kuja kuwa Kama Mkapa au Kikwete na Kama habadiliki basi amwondoe Mwakyembe maana anatuhumiwa Kwa Ununuzi wa mabehewa chakavu .
 
Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Tunamuunga mkono lakini naona hapa umekuja na mawazo yako sasa tumuunge mkono ili tetesi zako na tuhuma zako ziwe za kweli?umetoa tuhuma nyingi sana kwa watu je hizo tuhuma ni za kweli?Je wewe hauna Maslahi na hao uliowataja , anyways kwa kuwa ni tetesi lets wait
 
Ni busara kwa Rais JPM kufahamu na kukumbuka kuwa wakati Mahita akiwa IGP, huyo Adadi Rajab ndio alikuwa DCI wake na vitendo vya uhalifu vilishamiri nchini!! Kumpa Adadi Rajab docket ya mambo ya ndani itakuwa kuwarudisha Mahita na Tibaigana wizarani kwa mlango wa nyuma!! I hope you will not say that you were not warned!!
 
Hahahahaa mkuu kavurugwa huyo. Sasa afanye tena zile tabia zake za kumuuza dada yake apate japo ujira kidogo kumuwezesha kisiasa.
 
Hapo kwenye red, Ritz kuja hapa uteteeee....
 
January Ana bahati mbaya Sana.






Unaweza kumuona ana bahati mbaya,lakini ndiye mwenye siri ya ushindi wa CCM.Yeye ndiye aliyeratibu vitengo vyote vilivyotumika kumpa ushindi mukulu,wasipomuangalia kwa jicho la tatu anaweza kumwaga mboga na ugali wote wakakosa msosi.
 
Unaweza kumuona ana bahati mbaya,lakini ndiye mwenye siri ya ushindi wa CCM.Yeye ndiye aliyeratibu vitengo vyote vilivyotumika kumpa ushindi mukulu,wasipomuangalia kwa jicho la tatu anaweza kumwaga mboga na ugali wote wakakosa msosi.
Magufuli anamwogopa January Makamba kuliko Ukoma hata akifanya nini hawezi kumtumbua JIPU na sasa yupo anatafakari kumpa Wizara ya mambo ya ndani ili atumike kuwadhoofisha wapinzani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…