Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Naona unaota ndoto za usiku bado hujaamka
Unafikili fikra zako ni sawa na za rais acha kubwabwaja ovyo fanya kazi
 
Asiweke mtu ambaye alishawahi kuwa kwenye system mambo ya ndani. Migongano ya kimaslahi inaweza kutokea.

Hivyo Kigwangala ni more effective kuliko Ummy? Ummy anajituma kama ana mapungufu aelekezwe. Mwigulu naona kapwaya kwenye wizara yake. Jenister naunga mkono lakini kwa sababu tofauti. Makamba sina maneno ila siyo vizuri sana kumuweka mshindani wako karibu (I know it has been done before, lakini...). Wa viwanda naona kama haendi vizuri. Acha tusubiri.

Ningependa, however, asiishie kwa mawaziri peke yao. Kuna wakuu wa mikoa ambao wameonyesha mapungufu sana.

Kama kuna wabunge wakuteuliwa inakuwaje akimtoa uwaziri? Ina maana Rais amepoteza nafasi zake bure?
 
....hao ma mama wawili waliteuliwa kwa kigezo cha ukada wao na uvuvuzela kwa chama chao na si merit kiutendaji...maana huko kwenye chama chao ndiko husikika wakipiga kelele mara nyingine zisizo na msingi... Hawa hawakuwa chaguo la JPM toka mwanzo...hivyo sitoshangaa wakitemwa...ni suala la muda...Huwezi ku forge uwezo kiutendaji...kuna siku utachemka tu...kama alivyofanya mhagama kwenye ile teuzi ya kishoga...ngoja tusuburi...maana tetesi huanzia humu jf always..
 
Unajua maji ya kijani yakishakolea unaona mfumo ni ule ule waenga walisema kunguru afugiki kubadilisha mentality au mindset sio kazi rahisi.
 
Tukimtoa chz February Na mzee Wa goli la mkono ndi viongozi wanaongozwa kuchukiwa Na wengi sasa wakitumbuliwa jf uzi wake kutakuwa Mara ishirini maana ndio waliojifanya ma master mind Wa kampeni za magamba Na kutukana watu Na Yule aliyepewa ukuu Wa Bandar salama
 
Mm napendekeza Mambo ya ndani Dr. JMP ampe KANGI LUGOLA, ni mzr ila kwa sababu huwa anapambana na rushwa, mafisadi huwa wanajitahidi mchafua. Tuachane na mambo ya Kambi (Team EL), tuangalie uwezo wa mtu.

Bashe ni mzr kwa hoja na ushauri, hana kashifa za kijinga. Yuko Serikalini na Upinzani (Ana uma kote kwa kusema ukweli). Japo ni team EL, tuachane na mambo ya team tujenge nchi kwa pamoja.

Huwa nasema kuna watu Hawamuelewi Rais JMP na dhana yake ya kutumbua, ila muda unavyoenda either Hutaki kumuelewa au unataka, utamuelewa hata kwa lazima!!

Fumua hii nchi iunde upya! Kila la kheri Rais.
 
Tatizo la huyo sijui mwezi gani vile ah! ni kama mirathi ni waropokaji,wasengenyaji kisha midomo midomo sana tu.
 
Lugola huyu sio yuleee, huyu kesha anza vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…