Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Sawa

Sawa mkuu maana yangu sio tafasiri yako bali anachacharika sana na anaoneka hodari nilitaka kujua ana element zozote za military experience mpaka watu wampigie chapuo Home Affairs
 
Hata Naibu waziri wa mambo ya Ndani sio mtendaji.. ni mzigo..!! Masauni sio kabisa..!!

Hii wizara inataka watu AGGRESSIVE and Competent..!!

Masauni yuko slow sana...

Wizara ya mambo ya NDANI INGEFAA MTU KAMA AGGREY MWANRI..MKUU WA MKOA WA TABORA.
 
Usiishi kwa kukariri. Watu wanabadilika kulingana na situation. Nani alijua kuwa Samwel Sitta atavurunda kiasi kile kwenye bunge la katiba.
 
Ebo!! mimi nikidhani nia ni kuwa tumikia Watanzania kwa ufanisi na uadilifu mkubwa zaidi kumbe ajenda ni kudhoofisha Upinzani???!!
 

jf ni kiboko kwa tetesi zinazoo zaa matunda...ngoja tusubiri
 
January Makamba baada ya kupiga Zile bilion 1.7 katikati ya kampeni Magufuli alipagawa na kuapa kutomchagua kuwa Waziri pindi akiapishwa lakini alipewa shinikizo na Kinana na Kikwete kuwa January ndiyo alileta Utitiri wa wachakachuaji wa matokeo na kamati za Ufundi toka Gambia na kwingineko Duniani wakafanikisha ushindi wa goli za Mikono na kuingia ikulu hivyo hapaswi kuachwa nje ya safu , na sasa kaambiwa ampatie Wizara ya mambo ya ndani ili wautumie Vizuri kuwadhoofisha wapinzani , Magufuli atacheza na mawaziri wote lakini akisikia jina la January Makamba mwili humsisimka kabsa.
 

Hivi February ameoa?
 
Hata teua toka wapi maana CCM yote mbovu! na akimtoa makamba ndio majungu yatazidi na hapo ndio patakua patamu sasa
Mkuu Rais tumempata lakini atakwama tu mana hana msaada,CCM karibu wote naona hawana nia njema na nchi hii ....
 
Haya madai yenu mnapokamatwa na vyombo husika kwenda kuthibitisha wengine wanatokwa povu,
Tusiongee kwa hisia zaidi kuliko uhalisia, lowassa asingemshinda magufuli kwa hali yyte Ile,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…