Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri; J. Makamba, Mhagama, Ummy Mwalimu nje; Adadi Rajabu, Bashe watajwa

Hata Naibu waziri wa mambo ya Ndani sio mtendaji.. ni mzigo..!! Masauni sio kabisa..!!

Hii wizara inataka watu AGGRESSIVE and Competent..!!

Masauni yuko slow sana...

Wizara ya mambo ya NDANI INGEFAA MTU KAMA AGGREY MWANRI..MKUU WA MKOA WA TABORA.
Kama unachanganya aggressiveness na mpiga kelele
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
umeongea mambo mazito sana ikiwa ni kweli basi wapinzani ni ccm wenyewe kwa wenyewe na hii ni vita kubwa sana kuliko tunvyofikiri maana mtu wa ccm ni rahisi hata kumdhuru kiranja mkuu kwa kuwa ni vigumu kumjua. hebu dokeza kidogo source ya haya uliyoandika japo kwa mafumbo.
 
Usiishi kwa kukariri. Watu wanabadilika kulingana na situation. Nani alijua kuwa Samwel Sitta atavurunda kiasi kile kwenye bunge la katiba

Nafahamu kuwa Serukamba ni boi wa baba yako na pengine ndio maana ameiga hiyo tabia ya kupenda RUSHWA; sasa JPM hawezi fanya kazi na watu wezi kama Serukamba, hizi ni zama za utaifa kwanza na sio za kujilimbikizia mali at the expense of wananchi!
 
Aliyafanya kikwete haya, alibadilisha mawaziri kila uchao lakini hakupata mavuno yaliyo bora, ccm ni ileile hakuna anae faa huko ndani. Bora angebaki mwenyewe na waziri mkuu makini zaidi. Tena kwenye listi angeongezwa Mwakyembe aliekuwa anacheka kama juha wakati waziri mlevi akitoa majibu ni aibu kubwa kama waziri wa sheria apishe tu na yeye.

Kama hakuna Wanofaa CCM , wako wapi?
 
Muda wowote mabadiliko makubwa yanategemea kutokea katika baraza la mawaziri ambapo mawaziri kadhaa watatemwa kutokana na sababu kadhaa.

1. Jenister Muhagama - Anatuhumiwa kwa kuzunguka mamlaka za teuzi (Rais na Waziri Mkuu) katika sakata la kumteuwa kaimu mkurugenzi wa NSSF... Mhagama alitenda kosa hilo akishirikiana na Balozi Ombeni Sefue ambaye kwa sasa kashatumbuliwa.

2. January Makamba - Maranyingi amesikika na kurekodiwa akimsema vibaya Rais, akimsengenya Rais pamoja na kuratibu mipango mbalimbali ya kumdhoofisha Rais Magufuli. haya anayatenda katika Hotel ya Protea Dar es Salaa., na Dodoma ambapo amekuwa akifanya vikao vya siri usiku wa manane na baadhi ya wabunge wa upinzani, pamoja na wafanyabiashara wakubwa wakiwemo wa sukari

3. Ummy Mwalimu - Inasemekana kasi na uwezo wake mdogo haumrithishi Rais kwa sasa..

Katika mabadiliko hayo Adadi Rajabu, Mbunge wa Muheza inasemekana anaweza kuingia kuchukua nafasi ya Kitwanga, wengine wanaotajwa ni Bashe, mbunge wa Nzega ambaye anaweza kupewa docket ya Mazingira au Maliasili na pia Serukamba amekuwa akitajwa.

Mytake: wananchi kwa umoja wetu tumuunge mkono Rais Magufuli ana dhamira njema kabisa la kuwatumikia watanzania.
Bashe???Kaajiriwa na Rostam apewe uwaziri?Acha utani na magufuli
Serukamba alitupa tabu sana na hela za lowassa huyu hata msimfikirie kabisa
 
Tuondolee uchuro, hakuna msomali anayeweza kuwa waziri Tanzania ya leo, BTW Bashe ni kibaraka wa Rostam Aziz mzee wa Panapa paper hatuwezi kuweka maliasili zetu rehani ati Bashe awe waziri wa maliasili ili amgawie vitaru Rostam Aziz ambaye anamiliki kampuni za uwindaji, tuondoleeni uchuro huu Tafadhari, Rais si mpuuzi kama mnavyodhani na system iko macho na tunafanyanayo kazi bega kwa bega na taarifa zote sahihi tunazifikisha.

Ndio maana wengine hatuna muda wa makelele kwa sasa tumeshika rimoti tu.

One down next Ramadhani Dau.
 
Hizi tetesi zaweza kuwa kweli

Wengine tulishasema toka mwanzo kuwa Rais Magufuli alichoanza nacho wala sio KASI bali ni MIZUKA tu ya kuwa Rais. Nchi haiongozwi kwa mizuka na watakaomuangusha wala sio wapinzani bali ni hao hao wenzake ndani ya serikali na chama chake wengi wakijifanya washauri wake!!

Na staili yake ya uongozi hii ya kuamua bila kufikiria....ndiyo anguko lake. Wakati mwingine huyu mtu si hata wa kumuombea bali apaswa atumie akili na busara zake mwenyewe huku akiomba yeye mwenyewe!!

Huyu anafuata nyayo zilezile za Mkwere, hana jipya. Yaani wanambadilisha mwelekeo kabisa, badala ya ku deal na matatizo ya nchi, anaanza ku deal na migogoro ndani ya serikali yake!!
Mengine kayasababisha yeye mwenyewe kisha anajikosha , mfano kafuta vibali vya sukari pasipo kuitathimini wala kushauriana na bodi ya sukari matokeo yake Kawapa Dili majaliwa na January Makamba wanatoa vibali Kwa magendo ( kufa kufaana) Magufuli anabana kumbe wenzake wanashiba kupitia humo humo , siku zote wajanja hutumia fursa zote , mfano sasa wajanja wamejipenyeza Kwa wabunge wanakula pesa zao Kwa kisingizio cha kuwafanyia mipango wapewe Uwaziri .
 
Yes its too big than his ego which is reasonable......I personally understand him
Kwakua ni raisi unataka akikosea amezee tu ili msimuone kachemka, yeye pia ni binadamu kukosea kupo, vizuri akitambua kosa kuinuka na kurekebisha
There is no excuse on this, the office is too big for this guy.

Leo ndio mnakuja kusema yeye sio mungu anafanya makosa ila alipokua anafanya uteuzi hadi nafasi nyingine akawa anasema hajaona bado mtu anaestahili kuziongoza mlikua mnapiga makofi kua yeye ndie sahihi.

Jiandaeni na excuses za kutosha maana matokeo ya uborongaji ndio kwanza hayajaanza.
 
Bashe anafaa mkuu,Labda wewe ni kati ya wale waliokunywa rangi ya bendera ya chama(CCM).maana nyie hamna nia njema na nchi hii
Bashe kaja kipindi tofauti na Chao, na Bashe siasa zake alizoingia nazo bungeni sio zile za ndioooo hiyo Ndio sababu wale waliolewa maji ya kijani kuona nayeye sio mwenzao
 
Back
Top Bottom