Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

Hapangiwi aliyekupenyezea ni mfyeka nyasi ikulu na kama uliota basi ulikuwa mchana
 
Wakitupwa nje, nadhani itakuwa baraka kwao maana awamu hii kushikanishwa na watawala inaonekana ni laana.
 
hata huyu wa viwanda na efd sijui kama atabaki, nadha hata wizara zitarekebishwa
 
Kwan wizara ya kilimo alifanya nn!!!?
 
katika mawaziri walioshindwa mwigulu ni mmojawapo. huyu anabebwa tu.
Sio kweli, tatizo ni kuwa hawako huru na hawana bajet ya kutosha ningumu kujitutumua kat hali hii, hata bashite anaonekana mtendaji bora ni kwa vile anabajet ya kutosha kufanya anayoyafanya, na waulize wakuu wa mikoa mingine kama wako huru kiasi cha bashite.Usishangae aliyeko chini ya wazir anafanyakazi za wazir na wazir anapouliza inakuwaje unafanya kazi zangu hata bila kuniuliza, jibu linakuwa nimepewa maelekezo kutoka juu, sasa wewe kama ni wazir utafanya nini hapo.
 
Naunga mkono. Kiula kama Mwigulu. Majembe. Ingekuwa vizuri wakawepo wote baraza la mawaziri.
 
Rais hatachoka kuwashangaza. Natabiri polisi mmoja mwanamke atapaa juu na James Mbatia kuchukua naye ataula kwa kuchukua nafasi ya Januari Makamba ambaye atachukua nafasi ya Ndalichako atakayepelekwa Zanzibar. Mhe. Mbowe atakuwa Mkuu wa Mkoa Geita na Margaret Sakaya atapewa Shirika nyeti kuliongoza. Maprofesa watatu vijana kutoka Mzumbe na mmoja kutoka Makumira (Mchungaji) ndiyo watamalizia mabadiliko Baraza la Mawaziri.
 
mange wa jf
 
mange's follower
 
SIZONJE hana uwezo WA kumtoa kwenye duara MWIGULU WALA JANUARY MAKAMBA. Ila ni lazima amwingize RIZIMOKO KIKWETE KUPOZA MAKALI YA MZEE WA CHIPONDA KACHERO BENARD MEMBE
 
Watu wanajipendekeza wapate uwaziri bwana Mara aongezewe muda mara ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…