Ila kati ya mawaziri wa ajabu ajabu kutokea kwenye wizara hii ya mambo ya ndani miaka ya karibuni ni
Mwigulu Nchemba , kwakweli nimeshindwa kumuelewa kabisa. Issue zote zinazohusu wizara yake zinakuwa handled na Makonda.
Kitu kinachoweza kufanya asitemwe, ni kwasababu yeye "hamuingilii" Bashite cheo chake alichopewa na dingi yake wa Magogoni. Na hilo linamfurahisha sana mkuu inavyoonekana, maana anayeenda kinyume na Bashite hana kazi.
Sasa hilo kwenye wizara ya mambo ya ndani anakuwa tu kama "mbwa kibogoyo"
Yani heshima ya
Mwigulu Nchemba imeshuka. Kama ni graph imeenda kwenye negative kabisa.