Besti wakikuita utoe ushahidi uthibitishe utakuwa tayari?
I don't wanna lose you sweetie..
The return of the dentist🦷Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Asante Mungu kwa kuondolewa Damas Ndumbaro pale Mali Asili na Utalii.
Waziri anauzaje pembe za ndovu?Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Nyie wahuni hongereni kuleni bata mpaka mvumbewe, ila tunguli lenu likidondoka kabla ya uchaguzi 2025 mtatukoma mtakimbilia Macimboa na Pemba. Tunataka tule woteKaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Mkuu hupendi watiwe adabu?Maliasili imebadilishwa leo leo with immediate effect! Anyway acha tushangilie Sukuma Gang wanavyotiwa adabu [emoji3061]
Mh. Rais kasikia kilio chetu wadau wa vitalu vya uwindaji.Alitaka kumuondoa tu Ndumbaro pale maliasili
Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Upo CCM lakini unaonekana hauna raha kabisa, kwanini usiondoke huko uwe na amani?
Ndumbalo ni doctor mbobezi wa sheria ni samaki karudishwa majini hakuwa comfortable ku deal na wanyamaNdumbaro wamekula kichwa
Inaonyesha sasa wana jiandaa na hoja bungeni.
Katelefoni a endelee kujipanga,anachorwa tuu.
Ndumbalo ni doctor mbobezi wa sheria ni samaki karudishwa majini hakuwa comfortable ku deal na wanyama
Aibu Kubwa Sana HiiHii nchi ngumu sana,. Ina Maana ccm mtamaliza miaka mitano mnateuana na kutenguana.
Acha kujitoa fahamu, kama hujui kitu kaa kimya.Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.