Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Kaa chonjo kuna mabadiliko Madogo kwenye Makatibu Sehemu Tatu , alafu kwenye watendaji wa Ubalozi Mashariki Ya mbali tunabadili
Nyie wahuni hongereni kuleni bata mpaka mvumbewe, ila tunguli lenu likidondoka kabla ya uchaguzi 2025 mtatukoma mtakimbilia Macimboa na Pemba. Tunataka tule wote
 
Bora udili na wanyama kuliko kwenda kutetea mradi wa Samia wa kupingwa katiba nzuri kwa Watanzania.

Labda aondoke na Samia.

Otherwise atakuwa kama Makonda, Kabudi, na wengineo wa aina hiyo wakati wa Magufuli na baada ya Magufuli kuondoka.
Ndumbalo ni doctor mbobezi wa sheria ni samaki karudishwa majini hakuwa comfortable ku deal na wanyama
 
Back
Top Bottom