Tembo watrot huko maporiniLengo hasa la haya mabadiliko wakati huu ni nini ?
Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Kuna roho mbaya zimejaa huku za Ufipa StreetMnhh!! Kuna nini ?!? Heh!
Hii ni serikali ya kikwete phase2 Bora lakini kuliko yuleOhoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri. Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
ndumbaro ndiye aliyesababisha haya kweye ishu ya wamasai wa ngorongoro.Simbachawene alipwaya wizara aliyokuwepo naamini yeye ndie chanzo cha mabadiliko haya.
Wewe mjane bado tu upo Eda unamlilia basha ako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkome!
Unaonaje sukuma gang na mataga wanavyokomeshwa?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
[emoji106]Waangalie maamuzi yote aliyofanya Ndumbaro ambayo mengi yalitesa wananchi...Pale
Mufindi maamuzi yake yalipoteza ajira na biashara ya wananchi wengi...Takukuru ni muhimu kuchunguza maamuzi ya viongozi maana mengine yana viashiria vya wazi vya rushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimwi likujualo halikuli likakumaliza,Karudi Membe sasa anangojewa Emmanuel Nchimbi aingizwe serikalini na hapo ndio mtajua kuwa mtawala wa nchi ni mjomba wa Msoga!! Au bado mnabisha?
Pindi Chana kapelekwa kule kwenye Twiga na Pembe za ndovu ili wakakamilishe ujangili; wauza madawa ya kulevya wanatolewa jela kishikaji, huyu Mama hata haelewi kitu gani kinaendelea hajui hata KUWA kuna viongozi wa nchi wanaondolewa kwasababu ya mfumuko wa bei yeye anaelezea mfumuko wa bei nchini kimzaha mzaha tu!
Besti wakikuita utoe ushahidi uthibitishe utakuwa tayari?
I don't wanna lose you sweetie..
Walipaswa watolewe wote hakuna kitu
Mafisadi yana nafuu?Zimwi likujualo halikuli likakumaliza,
Heri ya shetani umjuaye kuliko malaika usiyemfahamu.
Wacha waibe lkn tuishi kwa Uhuru na amani, kuliko risasi na mauaji ya watu ambayo yalishaanza kushamiri kipindi Cha mwenda zake.
Mama anaupiga mwingi
Jamaa anaogoza akiwa Msoga vizru snMsoga Gang effect
Naona umepanic!Wewe mjane bado tu upo Eda unamlilia basha ako?
Yani nipanic kwasababu sukuma gang inafutwa kwenye ramani ??🤣🤣🤣Naona umepanic!
2025 ndio utavaa kyupi kichwani kabisa. Si umejionea timu inayosukwa sasa hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Sukuma gang wataungana na kina kinana kuwapelekea moto 2025 hadi mteme ndoano!Yani nipanic kwasababu sukuma gang inafutwa kwenye ramani ??[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woiii as long as yule muovu amekufa kwa korona chochote kitokee tu coz hakuna furaha kubwa kama ile ya kumzika muovu mkuu.Sukuma gang wataungana na kina kinana kuwapelekea moto 2025 hadi mteme ndoano!
Kama una bisha subiri muda utakwambia
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
WahameNa kuhakikisha wamasai wanahama.