Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Simbachawene apelekwa Ofisi ya Waziri Mkuu, Ndumbaro aenda Katiba na Sheria, Pindi Chana Maliasili na Utalii

Woiii as long as yule muovu amekufa kwa korona chochote kitokee tu coz hakuna furaha kubwa kama ile ya kumzika muovu mkuu.
Muovu wako alishakufa ila bado unateseka!

Yani marehemu bado anakutesa vibaya mno

[emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha mnakwama wapi?

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?
Ndumbaru hakuwa na mbinu, hata kukutana na wadau wa Utalii alishindwa.

Tusubiri tuone moto wa Pindi Chana. ..

Utaona mwenyewe
 
Swali langu mm ni; huyo pindi chana anaweza hayo uliyosema?
Ndio amepewa Sasa, ili afanye muone kama anaweza au la.

Ndumbaru alifeli, na ametolewa....ulitaka aachwe ili aendelee kuharibu
 
Ohoo Kinana effect tayari ili wakauze pembe za ndovu vizuri.

Huyo Pindi Chana ni Kikwete team kindaki ndaki.
Una maana yule mnyama alietaka leta ajari KIA alikuwa anatoroshwa akaruka toka kwenye ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…