Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

Sura ndo zile zile tofauti itakua majina ya wizara tu
 
Labda aajiri nchi zingine maana hawa waliopo wanalia mkono mmoja

Inatakiwa wa kuwazuia kula ambapo nchini hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…