Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

Mabadiliko CCM: Nani kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana kurejea kama Makamu Mwenyekiti

Status
Not open for further replies.
We zezeta nikikumbukaga comments zako wakat wa sakata la Ndugai, ulivyokuwa eti unatoa vitisho kuwa Ndugai hawezi kujiuzulu, Nchi haitokalika!,😎 Haya Leo kikowapi??? Boss wako anauguza saratan ya Koo India
Sasa chief na wewe unaamini Ndugai alijihudhuru 😜, chekecha kichwa basi mzee
 
Kwa sasa anaefaa kuwa Katibu mkuu kunena mikoba ya Chongolo Ni Mwita au mzee wa Mwibara.
 
We zezeta nikikumbukaga comments zako wakat wa sakata la Ndugai, ulivyokuwa eti unatoa vitisho kuwa Ndugai hawezi kujiuzulu, Nchi haitokalika!,😎 Haya Leo kikowapi??? Boss wako anauguza saratan ya Koo India
Hahahaha...bado mdogo wa mambo makubwa. Yaani mwenyekiti wa CCM akuteue halafu ashindwe kukutoa
 
Sasa chief na wewe unaamini Ndugai alijihudhuru 😜, chekecha kichwa basi mzee
Sasa vyovyote vile utakavyoamini, ndio ujue kuwa taasisi Ina nguvu,

Huyo Ndugai wako alihamka asubui akakuta tayari barua za resigned zipo mitandaoni
 


Kwa Kua hakuna damu changa ?! Kwani Hii Nchi Mungu aliiumba kwa ajili ya watu wale wale Kua viongozi kutoka familia zile zile 😿😿😿😿😿
 
Salaam Wakuu,

Inadaiwa Daniel Chongolo anatemwa Ukatibu Mkuu CCM!

Kinana aandaliwa kuwa Makamu Mwenyekiti, hana Mpinzani

Vyanzo ndani ya CCM vinadokeza kuwa fukuto linaendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi na ndugu Daniel Chongolo amekalia kuti kavu.

Chanzo kinabainisha kuwa wanaodaiwa kumrithi Chongolo ni kati ya ndugu Sixtus Mapunda na Glorious Luoga.

Nini kimemponza Chongolo? Anakwama wapi?

Uongozi ni kupokezana kijiti, nani anafaa kuchukua nafasi ya Ukatibu Mkuu wa CCM?

Chongolo atarudishiwa Ukuu wa Wilaya au atarudi Kijijini kulima Matango?

Pia soma Kwanini Katibu Mkuu wa CCM amekosa kabisa ushawishi Kwa jamiii? Je, CCM wana mgomo baridi dhidi yake?
Chingolo yupo sana. Huyu kamanda ni mtendaji mzuri sana. CEO wa chama anakuwa kwenye strategic issues na msemaji wa chama anakuwa ndiye anayepiga siasa pamoja na Makamo Mwenyekiti na Mwenyekiti mwenyewe.
Umakamo hapo akipewa Tyson, nambo ya CCM yatanyooka.
 
Hicho chama hata akiwekwa mwehu i don't give a rat's ass
 
Slaa anafaa sana kwani anazo mbinu hata za upinzani,go slaa go.
 
Mangula ameachia nafasi ya umakamu mwenyekiti CCM, kaona isiwe tabu.

Ila hii Ni Mara ya Pili mzee anawekwa pembeni, sijajua ana tatizo gani na wenzio huko.

Nafasi imechukuliwa na Kinana

Membe karudishwa CCM

===

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Philip Mangula leo Alhamisi Machi 31, 2022 amewasilisha katika Halmashauri Kuu ya CCM barua ya kuachia nafasi hiyo.

Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM kimependekeza jina la Katibu Mkuu wa zamani Abdulrahman Kinana kuteuliwa kupigiwa kura za kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Bara ambapo atachukua nafasi ya Philip Mangula.

Kikao hicho kimefanyika leo 31 Machi 2022 Jijini Dodoma.


Pia soma;

1). Nashauri Makamu Mwenyekiti wa CCM Mzee Philip Mangula ang'atuke na akabidhi mikoba kwa Abdulrahman Kinana

2). Ukatibu Mkuu CCM: Nani anafaa kuchukua nafasi ya Daniel Chongolo? Kinana ndani

Juzi nilianzisha thread ya Kinana kuchukua nafasi ya Mangula Mods wakafuta,sijui siku hizi wamekuaje
 
Na sioni shida mtu kusema fulani achukue nafasi fulani au hata kuhisia. Kuna muda mods wanafeli sana
Tena heading ilianza kwa tetesi,Hawa jamaa wananiboa Sana,nyuzi zangu zote wanabadili heading wanavyotaka wao kiasi kwamba wanaondoa ile attention na ujembe niliotaka kufikisha.

Lakini sishangai Sana ni jukwaa lenu hili la nyie wafuasi wa Mwamba 😬😬😬
 
Tena heading ilianza kwa tetesi,Hawa jamaa wananiboa Sana,nyuzi zangu zote wanabadili heading wanavyotaka wao kiasi kwamba wanaondoa ile attention na ujembe niliotaka kufikisha.

Lakini sishangai Sana ni jukwaa lenu hili la nyie wafuasi wa Mwamba [emoji51][emoji51][emoji51]
Sio kweli hata sisi Kuna nyuzi tunaweka zinafutwa.
 
Juzi nilianzisha thread ya Kinana kuchukua nafasi ya Mangula Mods wakafuta,sijui siku hizi wamekuaje
Maxence Melo kuwa makini nahisi kuna jamaa umewaajiri hapo JF wanakuhujumu , kuna jamaa wanadelete sana htreads za watu siku hizi na nyingine wanaziedite kabisa wanavyotaka wao bila hata kuombwa wakati JF ni user generated content, pia wanapiga watu sana ban bila sababu za msingi.
Sintoshangaa na hii thread yangu wakaidelete
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom