Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

Bongo mnajitetea aisee, sababu haziwaishi.

HAMNA VIPAJI VYA MPIRA.
 
Piga hao waarabu .
Hapo ndiyo tunapowaambia kila wakati ligi ya South Africa ni level nyingine .
 
Kwa Tanzania haiwezekani kabisa, kucheza mpira kasi, maana inatakiwa mtu awe na maamuzi ya haraka chini ya sekunde moja.
Hiyo akili ya kuwa na kasi na maamuzi ya haraka inabidi uwe umecheza mpira wa kufundishwa kuanzia miaka 7. Ndio maana ulaya kuna academy za watoto zenye makocha maalumu wa watoto.
Wanafundisha watoto ili akue ubongo ukiwa unamaamuzi ya haraka haraka. Sisi mtu anaanza mpira ana miaka 18 au zaidi, ubongo ushakomaa unakuwa na mwendo wa konokono.
Tunawasubiri watoto wa Mpanda ...mmoja yupo 17 bado kidogo tu ...2027 atacheza!
 
Tunawasubiri watoto wa Mpanda ...mmoja yupo 17 bado kidogo tu ...2027 atacheza!
Ilitakiwa tuwe na wachezaji kama hao kama 50 hivi au 70. Ambao wako vizuri wenye spidi kali mno na accuracy. Umeona mpira wa sauzi leo, ni spidi kali mno na pasi fupifupi na counter ndefu zenye spidi ndio zimemuangusha mwarabu. Na hao wengi ni wachezaji wa ligi ya ndani ya sauzi, wengi wanacheza mamelodi. Ni vimtu vifupi ila vinakimbia mno na wana accuracy kubwa ya kupiga pasi.
 
Back
Top Bottom