Mabadiliko haya ya sheria za FIFA ndiyo yamechangamsha AFCON hii

Bongo mnajitetea aisee, sababu haziwaishi.

HAMNA VIPAJI VYA MPIRA.
 
Wamebebwa waarabu wakashindwa kubebeka
 
Kulia kwa zamu Leo ni zamu Yao waarabu
 
Piga hao waarabu .
Hapo ndiyo tunapowaambia kila wakati ligi ya South Africa ni level nyingine .
 
Tunawasubiri watoto wa Mpanda ...mmoja yupo 17 bado kidogo tu ...2027 atacheza!
 
Tunawasubiri watoto wa Mpanda ...mmoja yupo 17 bado kidogo tu ...2027 atacheza!
Ilitakiwa tuwe na wachezaji kama hao kama 50 hivi au 70. Ambao wako vizuri wenye spidi kali mno na accuracy. Umeona mpira wa sauzi leo, ni spidi kali mno na pasi fupifupi na counter ndefu zenye spidi ndio zimemuangusha mwarabu. Na hao wengi ni wachezaji wa ligi ya ndani ya sauzi, wengi wanacheza mamelodi. Ni vimtu vifupi ila vinakimbia mno na wana accuracy kubwa ya kupiga pasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…