Zerodistance
Member
- Dec 3, 2022
- 5
- 3
Haswaaah somo la Bios linakuwa je optional?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wapitishe tu wanasubiri niniMleta mada kuna mahala hujaelewa vizuri,
Somo la Civics na General study yatafutwa ila kuna somo la Historia ya Tanzania na maadili ndio litakuwa na maudhui ya hayo masomo yaliyofutwa.
Lakini pia bado haujapitishwa, imetolewa kama maoni kwanza, ili wadau wapitie watoe maoni yao na kukosoa penye kurekebishwa na kuboreshwa.
Ukishatambulika thenHili ni jambo la muhimu sana na ni katika kuutambua ualimu kama taaluma. Kenya nadhani wanafanya hivyo tayari na faida mojawapo ni kwamba inawasaidia wakienda huko nje wanatambulika moja kwa moja. Nadhani hii ni sababu mojawapo iliyowasaidia Wakenya kuenea dunia nzima wakifundisha Kiswahili na masomo mengine.
Kwa baadhi ya wenzetu huko ualimu ni taaluma inayoheshimika kidogo na siyo kama hapa kwetu. Hii ni hatua nzuri hasa kama leseni hizo zitatambuliwa kimataifa.
Chanzo?Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe.
Muhutasari huu hapa.
Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu.
[emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
...Masomo kupunguzwa sekondari,
...civics na general study kufutwa kabisa,
...somo la elimu jumuishi kwa mitaala ya ualimu kuanzishwa..
....walimu wa diploma watafundisha primary tu....hii muifikirie upya. Ni muhimu kuangalia uwezo
hakuna tena kutoa certificate za grade A za shule za msingi.....waliopo wataendelea ila hakuna kuingiza wengine vyuoni.
....walimu wa shule za msingi watamaliza form six na wakienda chuoni wanafundishwa pedagogy pekee(bila content) kwa miaka 2 na kwenda kufundisha primary.
....walimu kuongezwa mishahara..
Walimu wenye mazingira magumu watalipwa posho ya mazingira magumu kuliko wale wa mjini.
.....elimu ya msingi miaka 6 tu.
walimu kusajiriwa katika bodi ya walimu na kupewa lesen ya kufundisha kama ilivyo bodi za mawakili na madaktari.
.....maafisa wa elimu wilayani wapunguzwe....
hili tayari limefanyiwa kazi. Kwa meru tayari wamesambazwa jana......lusajo kapelekwa Karatu, Neema kapelekwa Ngorongoro, Morice kapelekwa longido....wamebakia ofisini Mulokozi, baharia na Angel tu.
walimu kuwapa elimu wanafunzi kupinga ulawiti na ushoga. Marufuku kulala kitanda 1 watoto 2 au zaidi.
Masomo ya biology na geography yatakuwa optional kwa o-level. Mtoto sio lazima ayasome, wakati huo civics na GS yatafutwa yataishia primary level tu. Hapa itarudi siasa. Walioshauri hii wanajua umuhimu wa SoMo la uraia??
walimu vyuoni watalazimika kusoma pia elimu ya ufundi na kufundishwa mashuleni.
Michepuo/combinations mpya kuongezeka kwa A-level. Michepuo ya kazi gani??
Wanafunzi kufundishwa ujasiliamali mashuleni ili wawe na uelewa wa kujiajiri- hii ni Bora Ibaki vyuoni pekee.
Miundombinu ya shule nyumba za walimu kuongezwa. Hivi utajenga nyumba nchi nzima? Za walimu wangapi??
Kutaanzishwa shule za veta kwa ngazi ya sekondari. Wanafunz wakimaluza darasa la 6 wataenda wote sekondari na watapewa mtihan wakiwa form one kuchuja wengine wasome masomo ya jumla na wengine wasome ufundi.
Huu ni kama umbea mitandaoni.
Kwa hiyo ukifuta uraia sekondari utarudisha siasa?? Nchi hii inachukuliwa kirahisi sana
Hivi wanfunzi wa huo mwaka wenu walipatakana kweli waliokuja kusoma ECA advanced level?Enzi zetu Mungai aliunganisha Phy na Chem, akafuta Bookeeping na Commerce
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Nimeshangaa sana aisee! 🤔Hapo kwenye Bios na Geog ni Optional kwa O level, kuanzia kidato gan? Au ndo tangu 4m nyoyaa?
Aliyeshauri hili apimwe akili tafadhari. Khaaaah
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakiweka Hilo ujue CCM itakuwa mwisho wake kuitawala tanganyika sijui kwa zanzbarWaweza tuwekea tuipitie?
Kwanini somo la sheria lisiwekwe lazima O level, ili kila mtu ajue sheria na haki zake
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ha ha ha ha tatizo sio Walimu ndugu yangu tatizo ni Serikali yako, walimu unawaonea sana. TATIZO SERA, SHERIA NA VIPAUMBELE VYA SERIKALI NA UTASHI WA KISIASA.Walimu wote warudi shule wakapigwe msasa wengi ni vilaza, baada ya hapo intake inayofata waajiriwe wenye division one ya advance tu na GPA ya first class chuo vinginevyo tutaproduce dully students, ticha ana four ya o. Level afu anafundisha mwanafunzi unategemea nini. Walimu tokeni nendeni shule
Kuna dada nilikutana nae nilisoma nae jangwani, nakumbuka alikuwa na division One, form six ana division One. Hawa walimu wanaozungumzia ni walimu wawapi?Ha ha ha ha tatizo sio Walimu ndugu yangu tatizo ni Serikali yako, walimu unawaonea sana. TATIZO SERA, SHERIA NA VIPAUMBELE VYA SERIKALI NA UTASHI WA KISIASA.
NCHI HII UJINGA MWINGI MNO HATA HAYO MABADILIKO YASIPOKUJA NA MABADILIKO KWA WALIMU NI KAZI BURE.
Umedanganywa Boss hata hicho kiswahili wanafunzi hawajui kabisa.Naamini Kiswahili kingetumika kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu, wanafunzi wengi wangeweza kuyamudu masomo yao. Maana hii ndiyo lugha yetu ya Taifa. Kingereza kingetumika kama zilivyo lugha nyingine za ziada mfano Kifaransa, Kichina, nk.
Haya mambo ya kufundisha kwa Kiswahili Elimu ya msingi, na baadaye kuwabadilishia wanafunzi lugha wanapofika sekondari na chuo; inaleta mvurugano mkubwa.
Na ndiyo maana wadau wengi tunateseka kuwapeleka watoto shule za English medium ili kufidia hizi changamoto pale mtoto anapoingia sekondari.
Inakuwa rahisi kupata kazi moja kwa moja...huko nje na kwingineko.Ukishatambulika then
Heee kweli ni vichekeshoInakuwa rahisi kupata kazi moja kwa moja...huko nje na kwingineko.
Ni kama leseni ya practicing MDs inavyofanya kazi...
Au ya mwanasheria.....
Hili halikuwa swali la kuulizwa na Meneja wa Makampuni maana naamini anajua umuhimu wa formal professional IDs...
Wewe.Chanzo?
Hakuna hoja hapa.kwenye swala la lugha lazima wafundishe kwa kiingereza. kwa sababu kazi nyingi zinafanyika kwa lugha ya kiingereza so naona labda iwepo namna ya kufundisha kiingereza kwa njia ambayo ni simple mwanafunzi kuelewa kirahisi zaidi.
Japokuwa ninafahamu kuna nchi za wenzetu wanafundisha kwa lugha zao mama ni kwa sababu wana akili sana sana ndio maaana wamefanikiwa . kwa hapa Bongo hata kuvumbua kitu fulani sisi wenyewe hakuna sasa si bora tu tujifunze kwa lugha ya kiinhereza maana vitu vingi tunajifunza kutoka kwao.
halafu muda wa kutengeneza masomo yote yawe kwa kiswahili na kutafasiri tutapata wapi? sio rahisi sana.
Ila naungana mkono na wewe kukazia kwenye somo la IT on general kwanzia sekondari kwenda A level. itasaidia sana watu kujua basics wakiwa bado shuleni. kama wanavyofanya international schools.
Mi nnachoona hapo mambo makubwa kama elimu ya taifa yanafanyiwa kazi kama vile mtu anaamua housegirl wake apike mlo.gani wa siku, hataulizwa na mtu yeyote hata wanae , maana hawatafuti hela,Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe.

KusumuWewe.