Mabadiliko makubwa elimu nchini- mtaala wabadilishwa

Yaani sijui mawaziri hawa huwa wamesoma wapi, sielewi, mbona haieleweki. Sasa hivi wanafunzi wanasoma masomo ya lazima saba, sasa nashauri badala ya kufuta, muongeze somo la kompyuta liwe la nane na liwe lazima kwa 1-4 ila huko mbele liwe optional. Msifute masomo nyinyi, kuna vitu vingi sana mtasababisha watoto kukosa kuvisoma.
 
sawa tu elimu yenyewe hii,tena biology iwe optional mpaka form two mtoto ashasoma vingi tu
 
wapitishe tu wanasubiri nini
 
Ukishatambulika then
 
  • Lugha ya kufundishia iwe Kiingereza, na uwekezaji wa kweli ufanyike.
  • Vyuo vya ufundi vyenye vitendea kazi kamili itakuwa sahihi. Nikiziangalia VETA za serikali za sasa, naanza kupata picha hivyo vyuo vitakavyokuwa.
  • Umri wa kuanza shule uwe 5 hii tabia ya wazazi kufukuzia vichanga shule si sawa.
  • Shule ya kulala kwa primary zifutwe. Wazazi wakae na watoto wawalee na kuwafunza maadili, kazi n.k
  • Siku za masomo zipunguzwe kwani watoto wanahamia shule na kukosa muda wa kujifunza maisha ya mtaani. Mbali na shule rasmi, shule ya mtaani ni muhimu sana.
 
Walimu wote warudi shule wakapigwe msasa wengi ni vilaza, baada ya hapo intake inayofata waajiriwe wenye division one ya advance tu na GPA ya first class chuo vinginevyo tutaproduce dully students, ticha ana four ya o. Level afu anafundisha mwanafunzi unategemea nini. Walimu tokeni nendeni shule
 
Chanzo?
 
Hapo kwenye Bios na Geog ni Optional kwa O level, kuanzia kidato gan? Au ndo tangu 4m nyoyaa?

Aliyeshauri hili apimwe akili tafadhari. Khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshangaa sana aisee! 🤔

Bios na Geog ni masomo muhimu sana hayapaswi kuwa optional hata siku moja

Contents zilizo katika masomo ya Bios na Geog ni muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku
 
Waweza tuwekea tuipitie?

Kwanini somo la sheria lisiwekwe lazima O level, ili kila mtu ajue sheria na haki zake

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wakiweka Hilo ujue CCM itakuwa mwisho wake kuitawala tanganyika sijui kwa zanzbar

Msing mkuu wa ccm n ujinga wa wananchi kutojua haki zao
 
Ha ha ha ha tatizo sio Walimu ndugu yangu tatizo ni Serikali yako, walimu unawaonea sana. TATIZO SERA, SHERIA NA VIPAUMBELE VYA SERIKALI NA UTASHI WA KISIASA.

NCHI HII UJINGA MWINGI MNO HATA HAYO MABADILIKO YASIPOKUJA NA MABADILIKO KWA WALIMU NI KAZI BURE.
 
Kuna dada nilikutana nae nilisoma nae jangwani, nakumbuka alikuwa na division One, form six ana division One. Hawa walimu wanaozungumzia ni walimu wawapi?

Ana maisha yake ana nyumba yake, ana gari IST nzuri tu. Na nahisi ana masters by now.

People stop insulting teachers.

Kaka mmoja hivi nakumbuka alikuwa kupanga wa pure mathematics A level alikuwa na one six o level yeye sijui, he is teaching hata sasa
 
Umedanganywa Boss hata hicho kiswahili wanafunzi hawajui kabisa.
 
Ukishatambulika then
Inakuwa rahisi kupata kazi moja kwa moja...huko nje na kwingineko.

Ni kama leseni ya practicing MDs inavyofanya kazi...

Au ya mwanasheria.....

Hili halikuwa swali la kuulizwa na Meneja wa Makampuni maana naamini anajua umuhimu wa formal professional IDs...
 
Heee kweli ni vichekesho
 
Hakuna hoja hapa.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mi nnachoona hapo mambo makubwa kama elimu ya taifa yanafanyiwa kazi kama vile mtu anaamua housegirl wake apike mlo.gani wa siku, hataulizwa na mtu yeyote hata wanae , maana hawatafuti hela,
Hili ni taifa , pesa za kuendeshea huduma zote za wananchi kama afya na elimu ni kodi za wananchi wenyewe, huwezi kufanya maamuzi kwenye mambo critical kama hayo bila kuwahisisha wadau wanaowakiliaha wananchi wengine kwa ukumla, maana hata walimu wenyewe tu ambao ndio wanaojua changamoto za mitaala iliyokuwepo na ndio watakao tekeleza mitaala mipya nao hawajui maamuzi hayo yamefikiwaje, hata wakiulizwa ufafanuzzi na raia wengine nao watakuwa wanajiumauma tu kama mtu mwingine ambae hayupo kabisa kwenue hiyo field,
Elimu imetumiwa hata na wakoloni kututawala na inaendelwa kutumiwa na watawala waovu kuzifisadi nchi zao hadi leo, hivyo watuonyeshe wamefikaje fikaje kwenye hiZo resolution, ni wadau gani na factor zipi zimezingatiwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…