Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Mzee wa tarakea atakua kama pesambili
 
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41 (1).jpeg
WhatsApp Image 2024-07-22 at 17.02.41.jpeg
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
I like your coding
 
A poloka izzaa mbwane wee ….. iramba nkulu tanzania munino 🙌
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Napendekeza hiyo wizara tuwape DP WOLD mkataba wa miaka 10 sisi tuchukue asilimia zetu siku ziende
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Naunga mkono hoja.Halafu ana msimamo ya kizalendo hasa.
Huyo atatusaidia.
 
Raisi ndio mwenye mamlaka ya kumvua ubingwa mtu yeyote yule aliye chini ya CCM
Rais wa Tanzania ana nguvu za ajabu. Pia kuwa mwenyekiti wa CCM ndo nguvu zimeongezeka maradufu. Ukimkwepa kwenye chama unamkuta nje ya chama. Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi. Pia hayati Jumbe aliyekuwa Rais wa Zanzibar alikutana na balaa la mwenyekiti wa CCM. Hao kina Mwigulu ni kama sisimizi kwa Rais.
 
Aahahahah wengine hawaelewi
 
Bank siyo wizara dogo,

engineer anaweza kufaa zaidi kwa kuwa amekuwa trained kwa reasoning na ni rsk taking kuliko mchumi
Dr Kimei ni mchumi wala sio banker kama unavyotaka kuongopea watu amefanyakazi Bank kuu kwa miaka mingi akiwa Mkurugenzi na baadae kwenda CRDB. Usizungumze kitu usichokijua.
 
Back
Top Bottom