Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Mabadiliko makubwa yaja! Mzee wa Shelui jiandae

Samia anaonekana kukasirika ghafla, amegundua "uchura kiziwi" sio dili lazima asikilize ushauri anaopewa, la sivyo angezidi kupoteza imani kwa watanganyika.
Huyu anafaa arudi Kizimkazi akalee wakujuu..katuletea walamba asali balaa.
 
 
Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee

Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Tarakea hoyee. Nasikia nchi haiwezi tulia bila hao watu bwana. Muulizeni Hayati Raisi Mwinyi.
 
Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia

Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.

Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Bank siyo wizara dogo,

engineer anaweza kufaa zaidi kwa kuwa amekuwa trained kwa reasoning na ni rsk taking kuliko mchumi
 
Back
Top Bottom