Mzee wa tarakea atakua kama pesambiliSijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee
Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
I like your codingSijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee
Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Kwani hiyo ndio kazi ya kodi?Sasa mishahara ya timu za singida italipwaje sasa maana kodi hazitafika tena kule
Muulize aliyekuwa anaipeleka huko?Kwani hiyo ndio kazi ya kodi?
Mbona muda umepita
Zipo nyingi inaweza kuwa ya mijengo yake,ama biashara zingine.Muulize aliyekuwa anaipeleka huko?
lest we forgetMbona muda umepita
Hahaha jamaa timu alikuwa anaziendesha kupata milage ya kisiasa sio kiuchumi. Hawezi kutoa personal properties zake kisa kuwafurahisha wana sigidaniZipo nyingi inaweza kuwa ya mijengo yake,ama biashara zingine.
Lakini tatizo letu siyo waziri ni political will tuBank siyo wizara dogo,
engineer anaweza kufaa zaidi kwa kuwa amekuwa trained kwa reasoning na ni rsk taking kuliko mchumi
Hiyo wizara tukodisha Wazungu tuwape mkataba tu, na watendaji wote wawe Wazungu mpaka kule TRA.
Tunaweza wapata masemaji ya matimu mabubwa kubwa tuupate maoniii yaaaoo.Hahaha jamaa timu alikuwa anaziendesha kupata milage ya kisiasa sio kiuchumi. Hawezi kutoa personal properties zake kisa kuwafurahisha wana sigidani
A poloka izzaa mbwane wee ….. iramba nkulu tanzania munino 🙌Sijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee
Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Napendekeza hiyo wizara tuwape DP WOLD mkataba wa miaka 10 sisi tuchukue asilimia zetu siku ziendeSijasema kwamba sijawaambia wakuu mpeni taarifa ya kwamba Mzee wa shelui njia panda ya shelui ajiandae mapemaaa kuachia nafasi ya maokotro waje wanaojua kuzitumikia hizo nafasi aisee
Ila sasa kosa kubwa litalofanyika ni kumuweka Mzee wa tarakea kwenye hii nafasi nafasi hili ni kosa kubwa mno aisee kwani hamna watu wengine wakuwekwa hapo zaidi ya huyo Mzee wa tarakea? Aisee haya bwana mie napita tu.
Naunga mkono hoja.Halafu ana msimamo ya kizalendo hasa.Prof Mkenda ni mchumi pia ni moja ya vichwa vya maana sana tulivyonavyo Bungeni. Akiwa pale atasaidia
Kwangu nilimtegemea zaidi Dr. Charles Kimei as masuala ya Fedha yanategemea sana rekodi ya utendaji ya mtu husika kwenye masuala ya Fedha.
Kimei alipoitoa Benki ya Kilimo hadi kuifanya CRDB ilivyo hadi anachukua Nsekela kwangu ndiye anastahili zaidi
Rais wa Tanzania ana nguvu za ajabu. Pia kuwa mwenyekiti wa CCM ndo nguvu zimeongezeka maradufu. Ukimkwepa kwenye chama unamkuta nje ya chama. Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi. Pia hayati Jumbe aliyekuwa Rais wa Zanzibar alikutana na balaa la mwenyekiti wa CCM. Hao kina Mwigulu ni kama sisimizi kwa Rais.Raisi ndio mwenye mamlaka ya kumvua ubingwa mtu yeyote yule aliye chini ya CCM
Huo ni uzwazwaSisi tutafanya shereheeee!
Aahahahah wengine hawaelewiRais wa Tanzania ana nguvu za ajabu. Pia kuwa mwenyekiti wa CCM ndo nguvu zimeongezeka maradufu. Ukimkwepa kwenye chama unamkuta nje ya chama. Muulize Ndugai atakupa majibu sahihi. Pia hayati Jumbe aliyekuwa Rais wa Zanzibar alikutana na balaa la mwenyekiti wa CCM. Hao kina Mwigulu ni kama sisimizi kwa Rais.
Yaani kate😅Uwe musungu uwe!
Dr Kimei ni mchumi wala sio banker kama unavyotaka kuongopea watu amefanyakazi Bank kuu kwa miaka mingi akiwa Mkurugenzi na baadae kwenda CRDB. Usizungumze kitu usichokijua.Bank siyo wizara dogo,
engineer anaweza kufaa zaidi kwa kuwa amekuwa trained kwa reasoning na ni rsk taking kuliko mchumi