Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

Mabadiliko TRA: Kamishna wa Forodha Mtanganyika Said Athuman Kiondo aondolewa awekwa Juma Bakari Hassan kutoka Zanzibar

Mambo ya muungano maana yake yanatuhusu sote (wazanzibari na watanganyika).

Mambo yasiyo ya muungano maana yake wazanzibari wafanye yao kwa faida yao lkn watanganyika wafanye kwa ajili ya wote na faida ya wote.

Mfano.
TRA inakusanya fedha halafu 25 % inapelekwa Zanzibar, lkn ZRB (ZRA) inakusanya fedha kwa ajili ya Zanzibar tu.

Amka ewe mtanganyika
Umesahau kwamba na tra wapo zanzibar? Wanakusanya ajili ya nani?
 
ukisoma Katina Kuna ma, mambo ya muungano na yasiyo ya muungano hivyo wakienda mahakamani serikali itashindwa mapema.
Serikali haiwezi kushindwa iyo kesi maana kigezo cha mwanzo ili mtu ateuliwe azima awe ni mtanzania ambapo kila mzanzibar ni mtanzania na sio kila mtanzania ni mzanzibar
 
Unalijua aliloliandika mwandishi? Bandari ni swala la muungano kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri. Lakini Zanzibar walijizima data wakavunja katiba na wakaanzisha mamlaka yao. TRA pia inatakiwa kukusanya ushuru hadi Zenji lakini hapo pembeni kuna ZRA. Sasa waziri anayesimamia bandari ni Mzenji na ndo Kasaini DPW baada ya kunyofoa bandari za SMZ.

Sasa mleta uzi anashangaa kuweka boss wa Zenji wakati wana ZRA.
ukiulizwa utaambiwa Tra ni ya muungano. Huyu aliewekwa ni ili asivujishe siri za kupeleka kule, wameamua wachume haraka wakijua tuna zidi kuamka baadae itashindikana.
 
Sasa huyo Kamishna aliyeteuliwa atahudumia Serikali ya Tanganyika au Serikali ya Jamhuri ya Muungano!😂😂

Umeonyesha tu ujinga wako!
Unajijibu ungali hujui kitu.

Kama hujui kitu usijitutumue kuonyesha unajua kwa kuandika ujinga, note your fool as you wrote!.
 
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW

ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY

TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY

ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY

TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
Ww ndo mjinga usiyejitambua, hivi uchawa utaacha lini?
 
Hela za watanganyika zinaijenga Zanzibar,kwao umeme wanauziwa Bure watanganyika tunawalipia
 
Unajijibu ungali hujui kitu.

Kama hujui kitu usijitutumue kuonyesha unajua kwa kuandika ujinga, note your fool as you wrote!.
Mjinga na Mpumbavu ni yule asiyejua tofauti ya Zanzibar Revenue Board ya Mwenda na Tanzania Revenue Authority ya Kidava pale Zanzibar

Na unajijua vema!😂🔥
 
Washauri wa Rais wameshindwa kujua Bandari na TRA ambazo ndio roho za Tanganyika hazipo kwenye Muungano au ni amri kutoka juu kwa ajili ya ujio wa DPW

ZPA - ZANZIBAR PORT AUTHORITY

TPA - TANZANIA PORT AUTHORITY

ZRA- ZANZIBAR REVENUE AUTHORITY

TRA - TANZANIA REVENUE AUTHORITY
Nilitaka kusema "Wazanzibar wanafaidi" lakini nimeahirisha. Sitasema hata iweje.
 
Unelewa vizuri sana sema umeamua kujitia ujinga.

Zanzibar wana Bandari zao kwaajili ya Wazanzibari.

Zanzibar wana Mamlaka yao ya kodi kwaajili ya Wazanzibari.

TPA & TRA ni kwaajili ya watanganyika kutuletea Wazanzibari huko ni kuwadharau watanganyika million 61.

Kwakuwa hakuna mtanganyika ZPA & ZRA ni ujinga wa kiwango cha SGR kutuletea Wazanzibari kuongoza taasisi ambazo zipo Tanganyika na Zanzibar.
Kwa trend tunayoenda nayo huu muungano unaonekana utakuwa uchi muda si mrefu.
 
Kuna kauli ya kipenzi changu Baba wa Taifa imenitia simanzi sana baada ya kulewa "Tanganyika imevaa koti la muungano"
Fasili yake ni kuwa muungano upo huku Tanganyika na sio kule
Wanacho kifanya wanahaki zote tuu
 
Unelewa vizuri sana sema umeamua kujitia ujinga.

Zanzibar wana Bandari zao kwaajili ya Wazanzibari.

Zanzibar wana Mamlaka yao ya kodi kwaajili ya Wazanzibari.

TPA & TRA ni kwaajili ya watanganyika kutuletea Wazanzibari huko ni kuwadharau watanganyika million 61.

Kwakuwa hakuna mtanganyika ZPA & ZRA ni ujinga wa kiwango cha SGR kutuletea Wazanzibari kuongoza taasisi ambazo zipo Tanganyika na Zanzibar.
Pia Wana serikali,bunge na bendera Yao na bado wanashiriki kwenye serikali na bunge la muungano.
Ni kwamba chakwetu ni Cha kwao ama Cha kwao ni Chao peke Yao.
 
Kuna kauli ya kipenzi changu Baba wa Taifa imenitia simanzi sana baada ya kulewa "Tanganyika imevaa koti la muungano"
Fasili yake ni kuwa muungano upo huku Tanganyika na sio kule
Wanacho kifanya wanahaki zote tuu
Ndiyo kusema Zanzibar ni nchi huru, lakini Tanganyika ipo kwenye mabano hivi!!!
 
hii ni karata Samia anaicheza kwa umakini mkubwa, Samia haupendi muungano lakini aliapa kuulinda na akienda kinyume wanammaliza.Anachofanya sasa anawachukiza watanganyika kwa makusudi ili watake serikali tatu au wavunje muungano.SASA nini kifanyike na watanganyika , walilie serikali MOJA alafu zanzibar iwe kama wilaya ya kinondoni tu apo ndo matatizo yote yataisha na TANZANIA itakuwa moja.VUNJA SMZ
 
Back
Top Bottom