Mabadiliko ya dola dhidi ya TZS kwa siku ya jana na leo yaantisha

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Hali inatisha sana soon tutafika 3000. Ila tutumba anasema uchumi unaimariks aha ha ah ha ha
IMG-20250327-WA0025.jpg
IMG-20250329-WA0027.jpg
 
Ingeweka miundombinu mizuri kwa vijana na diaspora ili kuongeza pato la kigeni na sio kila siku kubeba dola na kwenda china , yani dola inayoingia na inayotoka ni mbingu na ardhi.
 
Goja nianze hii biashara ya kununua na kuuza dollar.Maana watu wanasema inalipa hapa Dar.
 
Nchi isiyozalisha, isiyotumia rasilimali zake kuingiza pesa za kigeni, haiwezi kuwa na pesa imara dhidi ya pesa nyingine
Mkuu hizi ni basics za uchumi. Tutuba tutamuua bure, yeye sio anaeingiza fedha za kigeni bali shughuli za kiucumi.

Tanzania inaagiza hadi njiti za kuchokonolea meno, unategemea fedha yetu itaimarika?

Tanzania haizalishi vitu, inaagiza hadi vitu vya kipumbavu sana. Mahitaji ya fedha za kigeni kwenda nje ya nchi ni makubwa sana kuliko kuingia ndani ya nchi.
 
Na ndicho nilichokisema, nchi siyozalisha haiwezi kuingiza pesa ya kigeni, na mfumo wa dunia unakutaka ulipe kwa pesa ya kigeni. Huinguzi na unaihitaji ili ukalipie bidhaa, what do you expect
 
wanaigeria wameingiza kabiria dola bilioni moja kwa kazi za mitandaoni ( kufanya kazi remotely na western countries)
 
Back
Top Bottom