Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Mimi mpaka wananiita shoga kabisa.

Lakini ndo hivyo nishaamua, nipo sober tokea May 2023.

Pombe ina hasara kuliko faida kwa kweli.
Nyie wenzetu mnakunywaga pombe gani?
Mpaka zinawaletea hasara na majuto ivyo..
Kula shiba vizuri kunywa maji ya kutosha ukipiga hata Hanson choice Ile ndogo au konyagi ndogo inatosha una pumzika zako
Unaweka mipango yako sawa unatengeneza deals Tena jion baada ya kazi au weekend
Epuka makundi na na makampani za ajab ajab
Jali familia yako na wanao kuzunguka show love kwao..
Pombe haijawai kua tatizo ni watu wenyewe ndio tatizo
Wengi TU wanakunywa na wanafanya vya maana
Ukiona unakua addicted au unafanya Mambo ya ajab ni Bora kuacha POMBE.
 
mimi nafanya kwa ajili ya afya
 
Pia inasemekana wine inaongeza uwezo wa kuwa na kumbukumbu 🤔
Washindi wa vita na wafalme wa zamani walitumia Sana.

Mfano ukiangalia historia za ancients Korean utaona hio culture kwa wafalme wao.

Na hata huku POMBE ni busara (wisdom)

Alcohol=Wisdom
 
Una mke?

Tumia hali hiyo kama fursa ya kuiacha pombe mazima, pombe haifai.

Ingawa utasumbuka katika kipindi hiki cha mpito, tafuta shughuli ya kufanya ili kujiweka busy.
 
Shida wengine wanafikiri kumaliza kreti au mizinga 3 ya konyagi (faru john) ni sifa
 
Ukizidisha tu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…