Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

Mabadiliko ya Ghafla: Kuikinai pombe kutoka kuwa mlevi wa kupindukia

mkuu usishangae hawa watu wapo huyu ukute akikimbia mezani basi wengine wote mpo hoi...🤣
mlevi wakutegemewa mambo yakimshinda nyie wengine jueni ndo mmeisha!
Nimevuta picha ya mlevi wa kutegemewa nimebaki kucheka tu, yaani hapo wakiwa kwenye mkutano wao pub jamaa ndio Lionel Messi
 
[emoji23] hao ni walevi ambao hawana elimu,utu na ustaarabu
mtu anaekunywa pombe naimani ni mtu anaetakiwa ajimudu sana kisaikolojia ukishindwa hapo basi we hujiwezi, sijawahi kuyumba,kutukana mtu,kupiga mazogo kisa pombe kwanza nikiweka vyombo ndo nakuwa makini mno cv zishishuke mi nafikiri pombe inawatu wake!.
Upo vizuri sana
 
Mi siwezi kuwa mpumbavu na kuwa mwanachama wa ccm au kuwa mjinga na kuwa mwanachama wa chadema.

Huo ni ujinga wenu wafia vyama
Wewe unafia nn
 
Habari za mda huu Wana Jf
Kuna Hali ya mabadiriko imenitokea Kwa kipindi Cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe

Niikiona pombe naikinai najisikia kutapika na sikuwa na wazo la kuacha pombe kabisa hivi karibuni imetokea ghafla tu watu walikuwa wananiaminia mno Kwa kulewa pombe ila saivi hata company zangu wananiona snitch kisa wakiniita naagiza CLUB SODA au ENERGY DRINK

Je hiyo ni Hali ya kawaida au Kuna Ujanja nmefanyiwa?
Mshukuru Mungu amekuponya kakutoa kwenye icho kifungo cha ulevi
 
usinisifie kwenye pombe! tunajimaliza maini mkuu kuwa na adabu...[emoji1787]
Ila ukiwa unakunywa then mtu anakushauri muache Huwa anaboa Sana ila ukweli ni

When you make a wrong choice you won't see
 
Back
Top Bottom