Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
FB_IMG_17127525341079606.jpg
 
Wizi mtupu tume ambayo inapingana na katiba hiyo sio tume huru ,maoni yetu yamepuuzwa na dicteta za ccm ,Leo unaingiza polisi ndani ya vyumba vya uchaguzi kwani huo ni uchaguzi wa kijeshi au kiraia!!Tanzania na Rwanda tunafanana Kwa dictator leadership
 
Upotevu wa muda na rasilimali.

Tume haiwezi kuwa huru maana wanaapa kwa mtu wanayeenda kumsimamia.

Unabadili chupa ila mvinyo ni ule ule.
 
Kinyesi hata ukikiita pilau hauwezi ukakila just tu kwa sababu umekiita hilo jina... ccm ni majizi makubwa acheni kutuhadaa....
 
Mwenyekiti,mkurugenzi na maafisa wengine wa hiyo tume huru wanapatikanaje?
 
Yaani haya sasa ni MAZINGAOMBWE!!!

Tume imewezaje kuitwa "Tume huru" kabla haijawa huru!!??
 
Viongozi ndani ya utawala wa CCM wanacheza na akili za Mazombie Watanganyika watakavyo....
 
Tatizo kubwa la ccm na watu wake ni kufikiri Watanzania wote ni wajinga na hawana akili. Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.

Unaiita tume huru halafu wasimamizi na watangaza matokeo ni makada wa chama tawala! Unaiita tume huru, halafu viongozi wote wa hiyo tume wanateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala!!

Sitokuja kupoteza muda wangu hata siku moja kushiriki kwenye hayo maigizo yenu.
 
Back
Top Bottom