Yaani hawa jamaa hawana mawazo mapya kwahiyo wameona watuhadae kwa kubadili Jina la tume ya uchaguzi ndio iwe tume huru.Kweli whatch100 amefilisika kimawazo
Wizi mtupu tume ambayo inapingana na katiba hiyo sio tume huru ,maoni yetu yamepuuzwa na dicteta za ccm ,Leo unaingiza polisi ndani ya vyumba vya uchaguzi kwani huo ni uchaguzi wa kijeshi au kiraia!!Tanzania na Rwanda tunafanana Kwa dictator leadership
Tatizo kubwa la ccm na watu wake ni kufikiri Watanzania wote ni wajinga na hawana akili. Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Unaiita tume huru halafu wasimamizi na watangaza matokeo ni makada wa chama tawala! Unaiita tume huru, halafu viongozi wote wa hiyo tume wanateuliwa na mwenyekiti wa chama tawala!!
Sitokuja kupoteza muda wangu hata siku moja kushiriki kwenye hayo maigizo yenu.