Griss
JF-Expert Member
- Jun 26, 2025
- 336
- 1,960
Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio maana nchi yetu haiendelei
Marekani, Urusi na China Zina vijana wengi Sana kwenye system ya nchi na ndio wafanya maamuzi makubwa na ndio wameshikilia technolojia zote kubwa
Rais wa nchi mwisho miaka 50 huu uhuni kuongozwa na wastaafu ni ujinga.