Uongozi sio swala la umri ni uwezo,,,wapo wazee wazuri kwenye uongozi na vijana wa hovyo,,,pia wapo vijana wazuri kwenye uongozi na wazee wa hovyo.Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio maana nchi yetu haiendelei
Marekani, Urusi na China Zina vijana wengi Sana kwenye system ya nchi na ndio wafanya maamuzi makubwa na ndio wameshikilia technologia zote kubwa
Rais wa nchi mwisho miaka 50 huu uhuni kuongozwa na wastaafu ni ujinga.
Mkuu unafanya kosa kubwa kubwa sana kudhani umri wa viongozi ndiyo tatizo letu. Kabla ya Samia kuna wengi tu walikuwa wanasema pengine tukipata rais mwanamke basi atakuwa msikivu. Matokeo yake nadhani umeona. Ninachotaka kusema ni kuwa dini, jinsia, umri, kabila etc siyo kigezo cha kupata kiongozi mzuri. Kigezo cha kupata kiongozi mzuri ni kimoja tu.... uchaguzi huru na wa haki, na uwezo wa kumwajibisha anapokwenda kinyume. NB: Bashe ni mzee? Mwingulu ni mzee? Makamba ni mzee? Zitto ni mzee? Hawa wote ni viongozi wa hovyo japo wako chini ya miaka 50.Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio maana nchi yetu haiendelei
Marekani, Urusi na China Zina vijana wengi Sana kwenye system ya nchi na ndio wafanya maamuzi makubwa na ndio wameshikilia technologia zote kubwa
Rais wa nchi mwisho miaka 50 huu uhuni kuongozwa na wastaafu ni ujinga.
Yes, age limit iwe 50 years ili akiongoza kwa miaka 10 umri wake usizidi umri wa kawaida wa kustaafu!Nyerere alikuwa Rais. akiwa na Miaka 39 tu
Mwangalie Obama Rais Bora kuwai kutokea duniani.
Mohamad Gadafi alikuwa kijana na mapinduzi makubwa libya
Mwangalie Traore
Yaani Ni Marais ambao wanafanya au walifanya mapinduzi makubwa wakiwa vijana.
Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
Ndio maana nchi yetu haiendelei
Marekani, Urusi na China Zina vijana wengi Sana kwenye system ya nchi na ndio wafanya maamuzi makubwa na ndio wameshikilia technologia zote kubwa
Rais wa nchi mwisho miaka 50 huu uhuni kuongozwa na wastaafu ni ujinga.
...Ukizeeka thinking capacity yako inakufa
We have to inject some objectivity here. The presidency is too important to rely on exceptions.Mkuu unafanya kosa kubwa kubwa sana kudhani umri wa viongozi ndiyo tatizo letu. Kabla ya Samia kuna wengi tu walikuwa wanasema pengine tukipata rais mwanamke basi atakuwa msikivu. Matokeo yake nadhani umeona. Ninachotaka kusema ni kuwa dini, jinsia, umri, kabila etc siyo kigezo cha kupata kiongozi mzuri. Kigezo cha kupata kiongozi mzuri ni kimoja tu.... uchaguzi huru na wa haki, na uwezo wa kumwajibisha anapokwenda kinyume. NB: Bashe ni mzee? Mwingulu ni mzee? Makamba ni mzee? Zitto ni mzee? Hawa wote ni viongozi wa hovyo japo wako chini ya miaka 50.