Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Humu watu wanatumia id fake laiti kama ungekuwa na idea unabishana na nani.........pole
du,sorry,usiku mwenma,lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu watu wanatumia id fake laiti kama ungekuwa na idea unabishana na nani.........pole
Mana wazazi wangu wameuzidi ukoo wenu na matakataka mengineIt is true huwezi kumfananisha na Wazazi wako lakini siyo Mimi!
Hivi ni hiki tuu ndo Ulichonanacho kichwani kweli? Hauna Chochote cha Kuchangia kwenye mjadala huu? Strange!kajiunge na taarabu tujue moja,usituletee mashudu yako humu,mbweha we!
Hivi ni hiki tuu ndo Ulichonanacho kichwani kweli? Hauna Chochote cha Kuchangia kwenye mjadala huu? Strange!
Mkuu acha Kuharibu Uzi wewe Toka Ujiunge Jamii Forums mwaka 2012 umeanzisha Thread Mbili tuu.Mana wazazi wangu wameuzidi ukoo wenu na matakataka mengine
Hata Umri Pia hatulingani pia Nina Mda Mwingine wa Kuyapita Aliyoyafanya Kwani Nina possess similar qualification
Rebecca mpenzi wangu mbona huwa unanichukia na hata hunifahamu Utapata dhambi kwa Mungu.strange indeed!kutusi watu hadi baba zao,mama zao,ndio umeona la kuweka humu,potea!shenzi we!
Savage!Kuwa na CPA wakati pengine ulikariri tu vitu (rot learning) au uliiba mitihani haina maana kuwa you are qualified. You just have a CPA, a certificate which does not necessarily mean you are qualified. For one thing, you lack breadth like many CPAs I know. Nothing shows that you are as equally qualified as Mafuru, at least judging from what you write here everyday. You are just a troll, busy messing up JF discussions trolling for reactions.
Mkuu achana nao kuna watu wanajua ku provoke,, utajikuta umejishushia creadibility wanashindwa kutofautisha JF, IG na FB.Mkuu acha Kuharibu Uzi wewe Toka Ujiunge Jamii Forums mwaka 2012 umeanzisha Thread Mbili tuu.
Kuwa na CPA wakati pengine ulikariri tu vitu (rot learning) au uliiba mitihani haina maana kuwa you are qualified. You just have a CPA, a certificate which does not necessarily mean you are qualified. For one thing, you lack breadth like many CPAs I know. Nothing shows that you are as equally qualified as Mafuru, at least judging from what you write here everyday. You are just a troll, busy messing up JF discussions trolling for reactions.
Rebecca mpenzi wangu mbona huwa unanichukia na hata hunifahamu Utapata dhami kwa Mungu.
Mnatukanana bure, na ni kwa kwa sababu mnachangia bila kutafakari yaliyo katika hoja. Hoja iko hapo juu, tena ktk video ambamo Mafuru anaongea. Hajasifu mfumo uliopita wa waajiriwa wa serikali na mashirika yake kupata posho za semina na safari; anachosema ni kuwa posho hizo zilikuwa chanzo muhimu cha kulipa mikopo ya mabenki. Kwa vile chanzo hicho kimeondolewa, wateja wa mikopo ya mabenki wameshindwa kulipa na mabenki yakayumba.Labda wewe + Mama yako Mzazi+Baba yako+ Bibi yako aliyeoko Kaburini
Mnatukanana bure, na ni kwa kwa sababu mnachangia bila kutafakari yaliyo katika hoja. Hoja iko hapo juu, tena ktk video ambamo Mafuru anaongea. Hajasifu mfumo uliopita wa waajiriwa wa serikali na mashirika yake kupata posho za semina na safari; anachosema ni kuwa posho hizo zilikuwa chanzo muhimu cha kulipa mikopo ya mabenki. Kwa vile chanzo hicho kimeondolewa, wateja wa mikopo ya mabenki wameshindwa kulipa na mabenki yakayumba.
Hakuna Level ya Elimu ambayo Mafuru Kasoma Mimi Sijasoma zaidi
Wewe unakuna unatetea Ujinga Eti ana akili! Labda za kuwazidi wewe, Mama yako, na Baba yako.
Wakati mwingine, ni vyema ukakaa kimya kama huna uhakika unachotaka kuandika hapa, hio nafasi sio mpya kwa Mafuru, alikuwa nayo kitambo tu, mara baada ya FBME kuwekwa kwenye uangalizi wa karibu wa BoTachana nae ana stress tu huyu..
vyeo alivyoshika mafuru hakuna mtu yeyote ukoo wao amewai kushika
ceo nbc.. hii huwez ipata kwa urahisi.. kuwa rais wa bamk kubwa kama nbc.
msajili wa hazina pia..
plus hiyo nafasi mpya ya hiyo benk
muulize yeye na cpa yake ana cheo gani
Wakati mwingine, ni vyema ukakaa kimya kama huna uhakika unachotaka kuandika hapa, hio nafasi sio mpya kwa Mafuru, alikuwa nayo kitambo tu, mara baada ya FBME kuwekwa kwenye uangalizi wa karibu wa BoT
Kila Kitu Kina Umri wake, Mda wake Kwani Mimi Niko Sawa Ki Umri na mafuru?wewe na cpa yako umeshawahi kuwa ceo maishani mwako bank kubwa kama nbc??
je umeshawai kuwa msajili hazina..
unafanya kazi za mshahara less than a million net unasema upo juu ya mafuru mtu ambaye ameshika top level post...
Ingefaa kujadili hoja ya msingi iliopo hapo, badala ya kujadili vyeo vya mtu. Haitusaidii sana.je wewe umewai kushika u ceo popote level ya nbc au hazina??
usikimbie swali
Kila Kitu Kina Umri wake, Mda wake Kwani Mimi Niko Sawa Ki Umri na mafuru?
Ingefaa kujadili hoja ya msingi iliopo hapo, badala ya kujadili vyeo vya mtu. Haitusaidii sana.