IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,839
Labda umepoteza wewe na familia yako
...Wahenga wana usemi ''UPUMBAVU NI KIPAJI'', kalagabaho...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda umepoteza wewe na familia yako
Labda wewe + Mama yako Mzazi+Baba yako+ Bibi yako aliyeoko Kaburini
Hakuna Level ya Elimu ambayo Mafuru Kasoma Mimi Sijasoma Vizuri zaidi Mimi ni Mtaalamu wa Masuala ya Uhasibu na Fedha na Cheti chetu cha juu katika hii kada ni CPA/ACCA. Ni kweli kawazidi Akili Nyinyi waalimu wa Kiswahili na Historia.
Mafuru huyu huyu ndo aliopeleka Coma/ICU NBC it never recovered hadi Leo huyu huyu Kafanya Madudu Kibao hazina pale.
Wewe unakuna unatetea Ujinga Eti ana akili! Labda za kuwazidi wewe, Mama yako, na Baba yako.
be using this alternative formula
View attachment 509699
Nakuja Sasa hivi
Mkuu mbona Unanitukana mtu ambaye hata baba yako akifa leo Nina Uwezo wa Kuishi na Mama yako chumba kimoja tukilala bila nguo?Zezeta la Lumumba. Subiria kuolewa kama wenzako kina Shaka.
Umesema ukweli mtupu. Uwezo wake sio mkubwa kihivyo watu wanavyomsifu.Huyu alikuwa mpigaji tu . Waseme huko serikalini kafanya nini. cha maana? Hisa .Labda wewe + Mama yako Mzazi+Baba yako+ Bibi yako aliyeoko Kaburini
Hakuna Level ya Elimu ambayo Mafuru Kasoma Mimi Sijasoma Vizuri zaidi Mimi ni Mtaalamu wa Masuala ya Uhasibu na Fedha na Cheti chetu cha juu katika hii kada ni CPA/ACCA. Ni kweli kawazidi Akili Nyinyi waalimu wa Kiswahili na Historia.
Mafuru huyu huyu ndo aliopeleka Coma/ICU NBC it never recovered hadi Leo huyu huyu Kafanya Madudu Kibao hazina pale.
Wewe unakuna unatetea Ujinga Eti ana akili! Labda za kuwazidi wewe, Mama yako, na Baba yako.
be using this alternative formula
View attachment 509699
Nakuja Sasa hivi
Bandiko hili Kabla hamjanywa VirobaAfu mjinga kama wewe unajitapa kuwa una elimu ya uhasibu kutwa upo ofisi za Lumumba unapiga zumari au tukuumbue humu..mkiwa nyuma ya keyboard mnajitapa kweli lakini siri ya alosto ya Lumumba unaijua mwenyewe..siku nyingine usimfananishe Mafuru na wajinga
Toa hoja sio ushabiki na matusi + dharau bila hoja na viambata vya kutetea hoja yako, Otherwise huu ni umbea tu kama wa uswazi kule na ubishani wa vijiwe vya Kahawa a.k.a ghahawa. Hili ni jukwaa la Great Thinkers sio kijiwe cha kahawa na mipasho. Hoja hujibiwa kwa hoja.Duh ukiunganisha akili zako na ukoo wako wote + bashite na yule makaptula hamumuwezi kwa uwezo Wa kiakili huyu mafuru
Mkuu nakushukuru kwa maneno yako ya Busara.Toa hoja sio ushabiki na matusi + dharau bila hoja na viambata vya kutetea hoja yako, Otherwise huu ni umbea tu kama wa uswazi kule na ubishani wa vijiwe vya Kahawa a.k.a ghahawa. Hili ni jukwaa la Great Thinkers sio kijiwe cha kahawa na mipasho. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Rebeca 83 hoja hujibiwa na hoja yeye kaweka ushahidi na wewe weka ushahidi wa kumtetea Mafuru au weka ushahidi wa kupinga hoja ya Troll JF vinginevyo wewe ndio unaleta mashudu na mipasho kama taarabu. Yeye kamnukuu mtu aliesoma/au alie na taarifa za elimu ya juu ya Mafuru sasa na wewe lete ushahidi kuwa Mafuru alifaulu hiyo mitihani hakufeli.kajiunge na taarabu tujue moja,usituletee mashudu yako humu,mbweha we!
Naona bado hujaiva vizuri kwenye propaganda mana hata alieandika hili bango mpo nae ofisini ni mtupu kabisa,ndo tatizo la kuandika mkiwa matumbo wazi mana akili inagoma ila mikono na mafiga unayokalia vinalazimisha..omba twisheni kwa komredi LizaboniBandiko hili Kabla hamjanywa Viroba
View attachment 509796
Hivi nyie ccm hamna system ya kushauri mamlaka za juu kukuzidiuchumi wa nchi umezidi kuporomoka bashite ndo mshauri mkuu unategemea nini zaidi ya zero
Thibitisha hiloDuh ukiunganisha akili zako na ukoo wako wote + bashite na yule makaptula hamumuwezi kwa uwezo Wa kiakili huyu mafuru
Rebecca mpenzi wangu mbona huwa unanichukia na hata hunifahamu Utapata dhambi kwa Mungu.
achana nae ana stress tu huyu..
vyeo alivyoshika mafuru hakuna mtu yeyote ukoo wao amewai kushika
ceo nbc.. hii huwez ipata kwa urahisi.. kuwa rais wa bamk kubwa kama nbc.
msajili wa hazina pia.
Bado anasaka ajira.
Anafikiri CPA miaka hii niyakutishia mtu.
Wenzake wana CPA wanafundisha bookeeping secondary
plus hiyo nafasi mpya ya hiyo benk
muulize yeye na cpa yake ana cheo gani
Mafi mafi matupuLabda wewe + Mama yako Mzazi+Baba yako+ Bibi yako aliyeoko Kaburini
Hakuna Level ya Elimu ambayo Mafuru Kasoma Mimi Sijasoma Vizuri zaidi Mimi ni Mtaalamu wa Masuala ya Uhasibu na Fedha na Cheti chetu cha juu katika hii kada ni CPA/ACCA. Ni kweli kawazidi Akili Nyinyi waalimu wa Kiswahili na Historia.
Mafuru huyu huyu ndo aliopeleka Coma/ICU NBC it never recovered hadi Leo huyu huyu Kafanya Madudu Kibao hazina pale.
Wewe unakuna unatetea Ujinga Eti ana akili! Labda za kuwazidi wewe, Mama yako, na Baba yako.
be using this alternative formula
View attachment 509699
Nakuja Sasa hivi
Hivi mkopo wa BANK wanao upata hasa watumushi wa serikali ....BANK huwa unaangalia mshahara wako halisi au ni pamoja na posho wanazo pata kiujumla ndio BANK hukadiria kiasi cha kukupa kama mkopo ?Mnatukanana bure, na ni kwa kwa sababu mnachangia bila kutafakari yaliyo katika hoja. Hoja iko hapo juu, tena ktk video ambamo Mafuru anaongea. Hajasifu mfumo uliopita wa waajiriwa wa serikali na mashirika yake kupata posho za semina na safari; anachosema ni kuwa posho hizo zilikuwa chanzo muhimu cha kulipa mikopo ya mabenki. Kwa vile chanzo hicho kimeondolewa, wateja wa mikopo ya mabenki wameshindwa kulipa na mabenki yakayumba.