Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Rebeca 83 hoja hujibiwa na hoja yeye kaweka ushahidi na wewe weka ushahidi wa kumtetea Mafuru au weka ushahidi wa kupinga hoja ya Troll JF vinginevyo wewe ndio unaleta mashudu na mipasho kama taarabu. Yeye kamnukuu mtu aliesoma/au alie na taarifa za elimu ya juu ya Mafuru sasa na wewe lete ushahidi kuwa Mafuru alifaulu hiyo mitihani hakufeli.
hujui tulipoanzia na wewe,usidandie treni kwa mbele,huyu mkaka anapaswa kubadilika,unamtetea ngoja akiuchafue siku moja ndio utajua....................