Mabadiliko ya kiuchumi yameathiri utoaji na ukusanyaji mikopo ya benki - Lawrence Mafuru

hoja ndio hiyo mikopo hailipiki sababu ya sera ya serikali.. je ni uongo??
Hivi unajua hata maana ya Sera ya Serikali? unaweza kutuambia Sera ya Serikali ya sasa ni ipi? au una copy tu kinachoandikwa na watu mitandaoni bila kukielewa
 
sibishani na wapenda ligi.... naomba usiniulize chochote tena..




Hivi unajua hata maana ya Sera ya Serikali? unaweza kutuambia Sera ya Serikali ya sasa ni ipi? au una copy tu kinachoandikwa na watu mitandaoni bila kukielewa
 
sibishani na wapenda ligi.... naomba usiniulize chochote tena..
sasa siku ingine kama umesoma andiko hapa, na kwamba ukawa hujui kilichoandikwa jipe nafasi kusoma na kuelewa kinachoandikwa na wengine, ili ujifunze, badala ya kukurupuka kuandika juu ya usioyajua.
 
Rebecca mpenzi wangu mbona huwa unanichukia na hata hunifahamu Utapata dhambi kwa Mungu.

People may not remember exactly what you did, or what you said, but they will always remember how you made them feel. By Maya
 
Mkuu acha Kuharibu Uzi wewe Toka Ujiunge Jamii Forums mwaka 2012 umeanzisha Thread Mbili tuu.
Umeambiwa ukijiunga JF ni kuanzisha Uzi? Afu unadiriki kusema ni msomi siku zingine kama huna cha kuandika tulia usome wenzio
 
Duh! Jamaa ana mikwara si ya kitoto, hadi ukaamua kumshushia na ma model. Sasa hilo model gani mkuu, probit au logit. Tehteh
 

Ungekuwa una elimu usingekuwa ccm
 

Kwanza inavyoonekana una matatizo ya akili nabishana na ndugu ya le mtumboz
 
He is poor man's FBME statutory Manager.
Bila Shaka we jamaa Una undugu na akina Bashite maana huwa unaongea utumbo ambao sijapata wahi ona... Bila Shaka Kichwa chako kitakuwa na hitilafu na ushauri wangu kwako ni ukakifanyie scanning "
 
Katika maisha kuna watu wa aina hii. Kwamba komote anapofanya kazi anafanya madudu. Lakini hafukuzwi anaishia kupata kazi nyingine bora zaidi ambako anaendelea kufanya mdudu, anaondoka kwenda kwingine kufanya madudu zaidi. Watu wa aina hiyo ni brilliant, sio wa kubeza. Namheshimu sana jamaa.
 
Bila Shaka we jamaa Una undugu na akina Bashite maana huwa unaongea utumbo ambao sijapata wahi ona... Bila Shaka Kichwa chako kitakuwa na hitilafu na nakushauri ukakifanyie scanning "

Much know sana anavojihis kumbe mjinga mjinga flan tu asiejitambua
 

wewe ndio mtaalam wa masuala ya uhasibu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…