Mabadiliko ya kiuchumi yameathiri utoaji na ukusanyaji mikopo ya benki - Lawrence Mafuru

Tumekuelewa Bosi Mafuru
mikopo chechefu a.k.a Bad Debts na provision for bad debts

  • mikopo kwa wafanyabiashara isiyolipika au inachelewa kulipwa kwa wakati
  • mikopo kwa wafanyakazi kufutwa, kutolipika n.k
  • biashara kupungua mfano makongamano, semina zilizokuwa zinafanyika ndani ya nchi ktk mahoteli na miji mbalimbali
  • kubana kwa wafanyabiashara kulipa kodi stahiki
  • tahadhari wanazochukua mabenki, wafanyabiashara, wakulima na wafanyakazi kutochukua/ kutoa mikopo au kubana matumizi kupima kwanza upepo wa sera za kifedha za utawala awamu ya tano
Hii ndiyo picha halisi inayoonekana mtaani kuwa pesa mzunguko wake umepungua na hali ya maisha ni tofauti na ilivyokuwa mwaka mmoja na nusu uliopita yaani Oktoba 2015.
 

Zezeta la Lumumba. Subiria kuolewa kama wenzako kina Shaka.
 
Umesema ukweli mtupu. Uwezo wake sio mkubwa kihivyo watu wanavyomsifu.Huyu alikuwa mpigaji tu . Waseme huko serikalini kafanya nini. cha maana? Hisa .
 
Bandiko hili Kabla hamjanywa Viroba
 
Duh ukiunganisha akili zako na ukoo wako wote + bashite na yule makaptula hamumuwezi kwa uwezo Wa kiakili huyu mafuru
Toa hoja sio ushabiki na matusi + dharau bila hoja na viambata vya kutetea hoja yako, Otherwise huu ni umbea tu kama wa uswazi kule na ubishani wa vijiwe vya Kahawa a.k.a ghahawa. Hili ni jukwaa la Great Thinkers sio kijiwe cha kahawa na mipasho. Hoja hujibiwa kwa hoja.
 
Mkuu nakushukuru kwa maneno yako ya Busara.
 
kajiunge na taarabu tujue moja,usituletee mashudu yako humu,mbweha we!
Rebeca 83 hoja hujibiwa na hoja yeye kaweka ushahidi na wewe weka ushahidi wa kumtetea Mafuru au weka ushahidi wa kupinga hoja ya Troll JF vinginevyo wewe ndio unaleta mashudu na mipasho kama taarabu. Yeye kamnukuu mtu aliesoma/au alie na taarifa za elimu ya juu ya Mafuru sasa na wewe lete ushahidi kuwa Mafuru alifaulu hiyo mitihani hakufeli.
 
Bandiko hili Kabla hamjanywa Viroba
View attachment 509796
Naona bado hujaiva vizuri kwenye propaganda mana hata alieandika hili bango mpo nae ofisini ni mtupu kabisa,ndo tatizo la kuandika mkiwa matumbo wazi mana akili inagoma ila mikono na mafiga unayokalia vinalazimisha..omba twisheni kwa komredi Lizaboni
 
Mnaheshima kubwa tayari, haina haja ya kutumia nguvu nyingi kuthibitisha uwezo ulionao, fanya bidii uwezo wako uonekane na kazi yako itaprove best kuliko ile dhaifu, kudhalilisha, kutukana mtu sio njia nzuri. Maisha yanamapito mengi..kuanguka na kusimama njiani nikawaida. Be blessed.
 
 
Mafi mafi matupu
 
Hivi mkopo wa BANK wanao upata hasa watumushi wa serikali ....BANK huwa unaangalia mshahara wako halisi au ni pamoja na posho wanazo pata kiujumla ndio BANK hukadiria kiasi cha kukupa kama mkopo ?
 
Wakitumbuliwa ndio wanakuja na porojo
 
Mafuru kajitokeza, nanyi mnaobisha basi,leteni idea zenu na sio kauli tata.... watch it-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…