Rebeca 83 hoja hujibiwa na hoja yeye kaweka ushahidi na wewe weka ushahidi wa kumtetea Mafuru au weka ushahidi wa kupinga hoja ya Troll JF vinginevyo wewe ndio unaleta mashudu na mipasho kama taarabu. Yeye kamnukuu mtu aliesoma/au alie na taarifa za elimu ya juu ya Mafuru sasa na wewe lete ushahidi kuwa Mafuru alifaulu hiyo mitihani hakufeli.
hujui tulipoanzia na wewe,usidandie treni kwa mbele,huyu mkaka anapaswa kubadilika,unamtetea ngoja akiuchafue siku moja ndio utajua....................
Labda wewe + Mama yako Mzazi+Baba yako+ Bibi yako aliyeoko Kaburini
Hakuna Level ya Elimu ambayo Mafuru Kasoma Mimi Sijasoma Vizuri zaidi Mimi ni Mtaalamu wa Masuala ya Uhasibu na Fedha na Cheti chetu cha juu katika hii kada ni CPA/ACCA. Ni kweli kawazidi Akili Nyinyi waalimu wa Kiswahili na Historia.
Mafuru huyu huyu ndo aliopeleka Coma/ICU NBC it never recovered hadi Leo huyu huyu Kafanya Madudu Kibao hazina pale.
Wewe unakuna unatetea Ujinga Eti ana akili! Labda za kuwazidi wewe, Mama yako, na Baba yako.
be using this alternative formula
View attachment 509699
Nakuja Sasa hivi
huyu jamaa anazingua just in a common sense bank loans zina athirika na kwa kupungua posho. is this all that banks can do attain and increase incomes shit, this a weak statement!Lawrence Mafuru ambaye ni Msimamizi wa Masuala ya Kisheria (Statutory Manager) wa FBME akiongea katika mahojiano maalum na Kwanza TV ameeleza kuwa kumekuwa na mabadiliko ya msingi katika mfumo wa kiuchumi ndani ya miaka miwili.
Mabadiliko haya ni pamoja na serikali kupunguza matumizi ikiwemo posho kwa wafanyakazi wake na matumizi ya kumbi za mikutano.
Mabadiliko haya ya kiuendeshaji yamepelekea mabadiliko katika mapato na matumizi ya wananchi na hivyo kuathiri utoaji na ukusanyaji wa mikopo.
Mahojiano haya yanatoa mwanga kuhusu sekta ya benki kwa ujumla.
Acha maneno weka ushahidi. Akinichafua nitamjibu kwa hoja zenye ushahidi kujisafisha na tuhuma zake.hujui tulipoanzia na wewe,usidandie treni kwa mbele,huyu mkaka anapaswa kubadilika,unamtetea ngoja akiuchafue siku moja ndio utajua....................
Mkuu to be honest analysis ya huyu jamaa ina mashaka. Yaani mabenki yabadili mifumo kwa sababu ya hizo posho za wafanyakazi na kumbi za mikutano?Duh ukiunganisha akili zako na ukoo wako wote + bashite na yule makaptula hamumuwezi kwa uwezo Wa kiakili huyu mafuru
Don't tell lies! Did FBME go bankruptcy/insolvency? Ninavyojua
In finance and economics, liquidation is an event that usually occurs when a company is insolvent, meaning it cannot pay its obligations as and when they come due. The company's operations are brought to an end, and its assets are divvied up among creditors and shareholders, according to the priority of their claims.
-Creditors
-Taxes &Interest
-Preference shareholders
-Ordinary shareholders
Mkuu Halafu kama umeisoma akili yangu huyu Troll Jf uandishi wake kama yule sokwe babu. siujui umenipata mkuuHumu watu wanatumia id fake laiti kama ungekuwa na idea unabishana na nani.........pole
Weka hoja mezani.....tatizo mmetumwa bila kuandaliwa.......tuliosoma naye na kufanya naye kazi tunamjua vizuri...piga kimyahujui tulipoanzia na wewe,usidandie treni kwa mbele,huyu mkaka anapaswa kubadilika,unamtetea ngoja akiuchafue siku moja ndio utajua....................
Si huyu huyu aliyeipeleka NBC ICU au unamsema mafuru mwingine?Mafuru ni katika baadhi ya walikuwa watumishi wa juu wa serikali waliosimamia falsafa za ukweli katika taaluma zao big up for that Mafuru!
Wengine wapo ktk falsafa za mkuu kasemaje kuhusu hili!!.. Duh!.