Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

You're so Generous Sir[emoji120]
Nitajitahidi kufuata huu ushauri wako, Thank you so much, your kind gesture is definitely-much obliged Sir.
Wafahamu mimi si wahovyo, Nutalishika neno lako hili[emoji120]
[emoji120][emoji2536][emoji1][emoji1] kuna Mond na kuna Da'Vinci ... Differences n similarities! Me, myself n I! Nafsi tatu kwenye jumba moja!
 
Kufuta comments ni kuharibu mlolongo wa majadiliano. Nakipinga kwa nguvu zote hicho kitendo. Jukumu la kufuta waachie Mudiz wafute pale wakapoona inafaa ila sio wewe.

Uliwahi kulalamika kipindi cha nyuma nilikuambia hivi hivi pia.

Mudiz mpo sahihi kwa adhabu mnayompa.

Uliwahi kufuta comment uliyoniquote, nilikereheka sana kwani baada ya kupata notification nilirejea kuona umenijibu nini ila nilikuta umeifuta
 
Jukwaa la Wakubwa lirudi, Itapendeza pia Uzi wa Kimasihara uhamishiwe kwenye Jukwaa la Wakubwa, kama litarudi.

Vilevile kuwe na Jukwaa la Visa na Masimulizi ya kimaisha, hii itasaidia kubadilishana mawazo kutokana na mambo tunayopitia kila siku.
 

App ina stuck sana boresheni na hii
 

mmh hivi. how unaeza block mtu
 
Binafsi JF ninayotumia kwenye google search ni nzuri ina features zaidi na fasta kuliko app yenu, kwa nini inakiwa hivyo?, Naona mjikite kujua na kusolve hilo.
 
Hii imekaa vizuri. Maana hata mimi mara nyingi hutaka kuuliza vitu fulani fulani lkn huona tabu kuanzisha uzi kwa kuuliza jambo dogo tu.
 
Suala la id nyingi itabidi mlitatue, maana kuna watu wanatengeneza Id nyingi sana. Na kila Id una kazi yake utakuta moja ya kukashifu,kutukuza,kupost ujinga n.k inakuwa sio poa, inapaswa user wawe reality na post zao ndio maana mfumo huu ukaitwa jamii forum.
Kudeal na hili mimi napendekeza

Akaunti ifatiliwe kwa kuangalia location ya device, email za mtumiaji Kama zipo kwenye device moja, kulogin mara kwa mara kwa device moja au mbili kwa mda fulani mtakaouset, nahisi mtaweza zuia multiple id kwa user. Inakera jitu linajifanya lijuaji then akaunti nyingine sio lijuaji Kama watoto vile uzuri wengine huumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…